Ushauri wa bure kwa single gals wa CC

Ushauri wa bure kwa single gals wa CC

Shikamo! mama yangu kipenzi gfsonwin ... Unae mjua baba yangu ni wewe peke yako namshanga huyu nani anajitaa Bishanga anadai mie ni mtoto wake alafu hapa sielewi elewi mama Mamndenyi alishiriki vipi kunilea vile?
 
Last edited by a moderator:
dalaliiiíiiiiiii
hehehheheheheheeheh dalaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ushapata wakuoa hebu mwambie Bishanga mie sio singo NIKIPIGA CHAFYA HII HAPA,NIKIGEUKA HII HAPA ,nalalia,nakalia nageukia ,naamka nayo nakuja nayo mpaka posta haahahahhahahaahahahhahah
 
mwambie kibogoyo huyu asokuwa na meno.

Naanza kupiga jaramba afu utakuja mwenyewe kutoa ushuhuda hapa jamvini, sipati picha na utu uzima huo ukianza kutembea na kifuko cha udongo wa pemba...!!
 
hehehheheheheheeheh dalaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ushapata wakuoa hebu mwambie Bishanga mie sio singo NIKIPIGA CHAFYA HII HAPA,NIKIGEUKA HII HAPA ,nalalia,nakalia nageukia ,naamka nayo nakuja nayo mpaka posta haahahahhahahaahahahhahah

teh teh teeh..... e bana ee.!!!
 
hehehheheheheheeheh dalaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ushapata wakuoa hebu mwambie Bishanga mie sio singo NIKIPIGA CHAFYA HII HAPA,NIKIGEUKA HII HAPA ,nalalia,nakalia nageukia ,naamka nayo nakuja nayo mpaka posta haahahahhahahaahahahhahah
mi cjawah kuwa single.
 
Last edited by a moderator:
Hana uwezo wa kunizaa huyu babu angejidai sana ningekua toto lake' niulizie kama ana kabinti kadogo kadogo kama miaka 17 au 18

bange zinasababisha
unamkataa mshua wako
we niaje chalii yangu!

 
Last edited by a moderator:
Shikamo! mama yangu kipenzi gfsonwin ... Unae mjua baba yangu ni wewe peke yako namshanga huyu nani anajitaa Bishanga anadai mie ni mtoto wake alafu hapa sielewi elewi mama Mamndenyi alishiriki vipi kunilea vile?

mmh! mie nazidi kuwashangaa kabisa manake baba yako ni Kaizer sasa sijui Bishanga alikuwa baba lini na Mamndeny alikulea lini.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom