Mbona hana Tembo card na kabati la mbeho?????
Anayo ya platinum issued by royal merchank bank ya amsterdam,kabati ya mbeho jamani ka friji tu?
Sema neno moja charminglady!
"Kuzaliwa na baba maskini hiyo ni kudra ya Mwenyezi Mungu,
Kuwa na baba mkwe lofa ni kujitakia"
Ushauri huu nina u dedicate kwa Smile na @lara1
amu Arabela charminglady Zion Daughter na Nivea angalieni kwa makini uwezekano wa kuolewa na wanae bishanga abashaija,who knows siku ya harusi unaweza unyanyuke na funguo za mercedaa na hati ya kiwanja mbezi beach!.
Ps: ninayo midume ya kutosha nyumbani kwangu,anayebisha awaulize Mamndenyi na gfsonwin.
Mbona hana Tembo card na kabati la mbeho?????
Bishanga shikamoo Mamndenyi huyo anayejiita Sefet sijui nani katoka wapi huyu naona kaingia kwa kasi kama kimbunga cha kule Pemba
Mwambie tunapendana sana sana na hakuna wa kututenganisha na maneno yake ni kama mwangwi tuu hauna nguvu yoyote
I love you so much Mamndenyi
copy kwa Bishanga, Arushaone, Erickb52, Vin Diesel na Mungi na Filipo