roho mbaya tu..
lov u mor..af,ebu muulize mama vizur hii issue ya Kaizer imekaaje?..turekebishe fasta kabla wanga hawaleta zao
Hiyo mbona inaeleweka.., haina kwere ni kweli kabisa,.. chukua hatua mapema
Hiyo mbona inaeleweka.., haina kwere ni kweli kabisa,.. chukua hatua mapema
Andindilile ebu tuache mm na manoah wangu tuzungmze yetu..jaman
afuadhar..ila kwa nn mama mkwe alisema ni Kaizer?
Mkuu utamuweza Mamndenyi? Kafundwa tandahimba huyu.....shuruti akufunge khanga vinginevyo atakuzungusha urushwe upitie dirishani!Bishanga shikamoo Mamndenyi huyo anayejiita Sefet sijui nani katoka wapi huyu naona kaingia kwa kasi kama kimbunga cha kule Pemba
Mwambie tunapendana sana sana na hakuna wa kututenganisha na maneno yake ni kama mwangwi tuu hauna nguvu yoyote
I love you so much Mamndenyi
copy kwa Bishanga, Arushaone, Erickb52, Vin Diesel na Mungi na Filipo