Ushauri wa bure kwa single gals wa CC

Ushauri wa bure kwa single gals wa CC

huo ushauri wako ni feki maana baba yangu ni choka mbaya sana ila kaka yangu ni tajiri balaa yaani umaskini wa baba yangu wala haumgusi wifi yangu . sidanganyiki meeen! babamke wala hanihusu?
besides kama amekufa je nisiolewe na mwanae? maisha ni yangu na mwenzangu baba mkwe hanihusu kabisa
 
"Kuzaliwa na baba maskini hiyo ni kudra ya Mwenyezi Mungu,
Kuwa na baba mkwe lofa ni kujitakia"
Ushauri huu nina u dedicate kwa Smile na @lara1
amu Arabela charminglady Zion Daughter na Nivea angalieni kwa makini uwezekano wa kuolewa na wanae bishanga abashaija,who knows siku ya harusi unaweza unyanyuke na funguo za mercedaa na hati ya kiwanja mbezi beach!.

Ps: ninayo midume ya kutosha nyumbani kwangu,anayebisha awaulize Mamndenyi na gfsonwin.

He he he he hiyo red hiyo kaaaazi kweli kweli aisee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom