Sefet
JF-Expert Member
- Dec 23, 2012
- 476
- 192
Last edited by a moderator:
basi unafurahi kweli ukiona mikanganyiko baina yetu..
Umeskia..!?! huyo mimisa imegundulika ni dada yako, kwa hiyo kuanzia leo tuitane shemeji...., inapendeza sana...
huyo mpinzani tu we na mimisa ndoa yenu jumamosi hii
Lakini uzuri wake unawafahamu vizuri ma playboy wetu, alianza Arushaone, Vin Diesel na sasa Mr Rocky , yeye sijtui atamwachia nani!??
Mi namuonea tu huruma huyo m bibi, hachelewi kuhonga shamba la miti afu ukamtelekeza...,
Mkuu upo njema! kila kitu tumeishaweka mambo safi jumamosi ni kukamilisha tu
Umesahau ile methali ya "adui usimuombee chipsi mayai na soda" I think fate is in my favour..!!!!
ah ah! mbona ana mimba yangu sasa?
koma unanionea huruma unanijua
we una fanywa nini.