Manoah ni mfano wa Kuigwa JF

Erickb52

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
18,539
11,442
Binafsi nimekubali sana jinsi ulivyobadilika sana siku hizi...sijajua ni ban au ni mwaka mpya na maisha mapya au ni Roho Mtakatifu kamshukia jamaa!
Hata umpe maneno gani hachukii na anakujibu kwa upole na upendo then anakubariki.
Naamini wote tutafuata nyao zake ikiwemo kuishi single km padre, kuacha matusi na kashfa (Hapa sitaji mtu), kuacha tabia za pendapenda(Hapa wahusika mnajijua ila sio Bishanga Mr Rocky sweetlady Vin Diesel Arushaone Arabela )
Mi naomba tupendane na tushirikiane.
Kwa waliopotea tuwaombee heri huko waliko.
Hongera sana manoah

Copy kwa:
Mungi Asprin FP St. Paka Mweusi PakaJimmy Kipipi snowhite Lily Flower TANMO Filipo marejesho Baba V watu8 Chimbuvu Arushaone SnowBall KakaKiiza nivea mtu chake Preta mwaJ Dena Amsi YNNAH gfsonwin cacico Madame B Zinduna platozoom charminglady C6 Dark City Kaizer Blaki Womani Mzee wa Rula LiverpoolFC Ciello KOKUTONA zumbemkuu lara 1
 
Last edited by a moderator:
Kumbe na wewe umeliona hilo eeh, dogo kabadilika sana, afu ametokea kupenda vijimbwa na paka balaa
 
Hahahahaaa mi nataka kuiga mienendo
Tumuige Baba V ili uwe unatoa maamuzi sawa kwenye ndoa zetu
 
Last edited by a moderator:
Msimuone kobe kainama ujue ..............!

Mark my words KIMYA KINGI KINA MSHINDO MKUBWAA!!!!!!!!!
 
Thanks my brother Erickb52. Mungu Mwenyezi ni Mkuu, kayabadili maisha yangu ndani ya nafsi na nje pia, pia katika jamii ninayo ishi na hata ndani ya JF. Nami pia nina washukuru member kwa uvumilivu wao kwangu hadi leo hii nina sema asante sana. Japo tunatumia avatar na majina sio halisi lakini asilimia kubwa tuyafanyayo na kuya tenda hapa yana weza ku reflect katika maisha yetu ya kawaida.
 
Heheheee ina maana lara 1 haka kajamaa kanavuta kasi???
Ila ngoja tuone kama kana mikakati ilojificha
 
Last edited by a moderator:
Binafsi nimekubali sana jinsi ulivyobadilika sana siku hizi...sijajua ni ban au ni mwaka mpya na maisha mapya au ni Roho Mtakatifu kamshukia jamaa!
Hata umpe maneno gani hachukii na anakujibu kwa upole na upendo then anakubariki.
Naamini wote tutafuata nyao zake ikiwemo kuishi single km padre, kuacha matusi na kashfa (Hapa sitaji mtu), kuacha tabia za pendapenda(Hapa wahusika mnajijua ila sio Bishanga Mr Rocky sweetlady Vin Diesel Arushaone Arabela )
Mi naomba tupendane na tushirikiane.
Kwa waliopotea tuwaombee heri huko waliko.
Hongera sana manoah

Copy kwa:
Mungi Asprin FP St. Paka Mweusi PakaJimmy Kipipi snowhite Lily Flower TANMO Filipo marejesho Baba V watu8 Chimbuvu Arushaone SnowBall KakaKiiza nivea mtu chake Preta mwaJ Dena Amsi YNNAH gfsonwin cacico Madame B Zinduna platozoom charminglady C6 Dark City Kaizer Blaki Womani Mzee wa Rula LiverpoolFC Ciello KOKUTONA zumbemkuu lara 1

Nafikiri mm nimechukua nafasi yake
 
Last edited by a moderator:
Thanks my brother Erickb52. Mungu Mwenyezi ni Mkuu, kayabadili maisha yangu ndani ya nafsi na nje pia, pia katika jamii ninayo ishi na hata ndani ya JF. Nami pia nina washukuru member kwa uvumilivu wao kwangu hadi leo hii nina sema asante sana. Japo tunatumia avatar na majina sio halisi lakini asilimia kubwa tuyafanyayo na kuya tenda hapa yana weza ku reflect katika maisha yetu ya kawaida.

Hapo umekosea, kwa masahihisho angalia slogan yangu hapo chini...
 
Thanks my brother Erickb52. Mungu Mwenyezi ni Mkuu, kayabadili maisha yangu ndani ya nafsi na nje pia, pia katika jamii ninayo ishi na hata ndani ya JF. Nami pia nina washukuru member kwa uvumilivu wao kwangu hadi leo hii nina sema asante sana. Japo tunatumia avatar na majina sio halisi lakini asilimia kubwa tuyafanyayo na kuya tenda hapa yana weza ku reflect katika maisha yetu ya kawaida.

Hongera sana kijana wangu.
Binafsi nakupongeza kiukweli coz km ungekuwa unapretend usingemaliza muda ungejisahau ila naona uko vizuri.
Big up sana na inapendeza sana.
Naomba uendelee kuwa mfano wa kuigwa.
 
Mbwa na Paka pamoja na Njiwa ni viumbe ambao hunifanya niwe nafuraha pindi ninapo kua mpweke. My brother Baba V , Kwangu Mungu Mwenyezi ana jambo kubwa analo tenda ndani ya maisha yangu ivi sasa, si hapa tu bali hata mtaani na ofisi maisha yangu yanabadilika na kwenda vyema.
Kumbe na wewe umeliona hilo eeh, dogo kabadilika sana, afu ametokea kupenda vijimbwa na paka balaa
 
Thanks my brother Erickb52. Mungu Mwenyezi ni Mkuu, kayabadili maisha yangu ndani ya nafsi na nje pia, pia katika jamii ninayo ishi na hata ndani ya JF. Nami pia nina washukuru member kwa uvumilivu wao kwangu hadi leo hii nina sema asante sana. Japo tunatumia avatar na majina sio halisi lakini asilimia kubwa tuyafanyayo na kuya tenda hapa yana weza ku reflect katika maisha yetu ya kawaida.
Mi naamini jasiri haachi asili hongera Manoah
 
Back
Top Bottom