huo ushauri wako ni feki maana baba yangu ni choka mbaya sana ila kaka yangu ni tajiri balaa yaani umaskini wa baba yangu wala haumgusi wifi yangu . sidanganyiki meeen! babamke wala hanihusu?
besides kama amekufa je nisiolewe na mwanae? maisha ni yangu na mwenzangu baba mkwe hanihusu kabisa

Mmmm haya.......mradi usimwendee mlingotini