Ushauri ndoa ya kislamu?

Ushauri ndoa ya kislamu?

Sasa hiyo ni NDOA ama HARUSI? ndoa ya kiislam hapo ukiwapata masheikh ty jambo limeisha. Labda na sadaka ya msosi, iwe maji, mpunga, halua, tende, juice, ama biscuit fresh..

Kwa haraka haraka haizidi laki 5, ukiamua kupiga ila kubum kubaa nyepesi, basi ni laki inatosha sana.
 
Hapo kwenye
Chakula
Mapambo
mziki na
Picha rekebisha mkuu inapelea.
  • chakula kuna ng'ombe bei anzia 800k kuendlea.
  • Na picha Japo sijajua ni video au photo.
kama ni photo sawa ila video ya ubora ni 300k had 1M.
- mziki 150k had 200k na mapambo 250k had 800k.

Bajeti nzuri andaa 3.5M watu 200. hadhi ya kawaida.
na nyama usinunue ng'ombe nunua kuku broiler. kuku mmoja kata vipande vitatu tu. wakaangwe
 
Sasa hiyo ni NDOA ama HARUSI? ndoa ya kiislam hapo ukiwapata masheikh ty jambo limeisha. Labda na sadaka ya msosi, iwe maji, mpunga, halua, tende, juice, ama biscuit fresh..

Kwa haraka haraka haizidi laki 5, ukiamua kupiga ila kubum kubaa nyepesi, basi ni laki inatosha sana.
Kudadadeki, akimpata na sharifu Vishu Mtata, hata kwa 60 atafanya.
 
Budget ya kharusi yangu ya kislamu nipo sahihi ya siku Moja
Kama una experience na ndoa ya kislamu naomba Ushauri

Chakula 500,000/
Mavazi 500,000/
Usafiri wa kuoa 500,000/
Tent 100,000/
Madufu Madrasa 100,000/
Mapambo 100,000/
Generator&Mziki 100,000/
Dua ya la Kharusi 100,000/
Mpiga Picha 100,000/
Usafiri wa kawaida 200,000/
Shekh wa kuozesha & Bakwata100,000/
Akiba 100,000/

Jumla 2,500,000/
Kama kuna dufu na dua huo mziki wa nini???
Kama kuna sheikh na analipwa hiyo laki moja ya dua ni ya nini???

Usafiri jumla Laki 3 unaenda kuoa wapi na wewe upo wapi???
 
Sasa hiyo ni NDOA ama HARUSI? ndoa ya kiislam hapo ukiwapata masheikh ty jambo limeisha. Labda na sadaka ya msosi, iwe maji, mpunga, halua, tende, juice, ama biscuit fresh..

Kwa haraka haraka haizidi laki 5, ukiamua kupiga ila kubum kubaa nyepesi, basi ni laki inatosha sana.
Ndoa ina madufu na miziki hadi duaa inalipiwa aloo hii ndoa kiboko,

Aoe zake kipindi cha Ramadhan usiku ni mwendo wa bites na kahawa hata laki 2 hamalizi anabeba mkewe
 
Ndoa ina madufu na miziki hadi duaa inalipiwa aloo hii ndoa kiboko,

Aoe zake kipindi cha Ramadhan usiku ni mwendo wa bites na kahawa hata laki 2 hamalizi anabeba mkewe
Wanafanya mambo kuwa magumu, Kama vipi anitumie mimi elfu 30 tu ya mafuta, naenda kuwafungisha ndoa bureeee, na sitaki hata maji ya kunywa..

Gharama halisi hazizidi laki 2, kwanza ni hao masheikh ambao wanatoa na cheti cha ndoa, sababu cheti cha ndoa ni muhimu, laki nyingine anapika mchele kilo 3 nyama kilo 1 chakula cha watu kama 10 ama 15 hivi, Kama hahitaji cheti cha ndoa basi hata sheikh MAKAVELI naweza wafungisha.
 
Budget ya kharusi yangu ya kislamu nipo sahihi ya siku Moja
Kama una experience na ndoa ya kislamu naomba Ushauri

Chakula 500,000/
Mavazi 500,000/
Usafiri wa kuoa 500,000/
Tent 100,000/
Madufu Madrasa 100,000/
Mapambo 100,000/
Generator&Mziki 100,000/
Dua ya la Kharusi 100,000/
Mpiga Picha 100,000/
Usafiri wa kawaida 200,000/
Shekh wa kuozesha & Bakwata100,000/
Akiba 100,000/

Jumla 2,500,000/

Umeshasema ndoa ya Kiislam. hilo Generator na musiki futa
badala yake weka maji ya chupa na soda kidogo....Pilau lina kiu sana au unataka wanywe maji ya mto
 
Waislam hawana ndoa. hiyo inaitwa " "gentlemen contract" Ndoa ni taasisi yenye heshima yake katika kuifunga na kuivunja
Heshima kama hizi tunaziona za viselebriti vya kigalatia kina mc pilipili vinao kwa shobo nyingi kanisani kumbe ana mabwana zake wa kumpelekea moto , akishutiwa anajinyoga ndio kaivunja
 
Back
Top Bottom