Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 20,544
- 44,298
Ajitahidi aandae chochote tu, bila shaka namba yangu unayo. Mpe kijana aoe aache dhambi.dua nyingine zita somwa na shekhe msaka tonge makaveli10
Ajitahidi aandae chochote tu, bila shaka namba yangu unayo. Mpe kijana aoe aache dhambi.dua nyingine zita somwa na shekhe msaka tonge makaveli10
Ondoa shaka, Kikubwa upandishe majini ili bro aongeze hela ya mizimu.Ajitahidi aandae chochote tu, bila shaka namba yangu unayo. Mpe kijana aoe aache dhambi.
Naam mie nitapiga dua nzitodua nyingine zita somwa na shekhe msaka tonge makaveli10
Sio mizimu, mizimu ni yenu makafiri, sisi kwetu ni malaika wazuri.Ondoa shaka, Kikubwa upandishe majini ili bro aongeze hela ya mizimu.
Kimya kimya mshtue shekhe Vishu Mtata, aje na mfuko wa kubebea ubweche.Naam mie nitapiga dua nzito
makaveli10 huyu bwanamdogo Intelligent businessman anatuchezea shere, unaonaje tumchape Albadir??Kimya kimya mshtue shekhe Vishu Mtata, aje na mfuko wa kubebea ubweche.
Bro acha biti, maana ukipita maskani tuta kuchapa stick.makaveli10 huyu bwanamdogo Intelligent businessman anatuchezea shere, unaonaje tumchape Albadir??
Sio mda nakugeuza paka kijanaBro acha biti, maana ukipita maskani tuta kuchapa stick.
Plate yangu, iwe na nyama nyingiKimya kimya mshtue shekhe Vishu Mtata, aje na mfuko wa kubebea ubweche.
biti za mbulahati hiziSio mda nakugeuza paka kijana
Jichanganye, shauri yakobiti za mbulahati hizi
Ahlul badr!! Huyu sio wa huko, ni kumkamata na kumshikisha adabu sisi wenyewe, mungu ana huruma huenda akamsamehe, au dua yetu yenyewe isifike kokote kutokana na matendo yetu😂🤣makaveli10 huyu bwanamdogo Intelligent businessman anatuchezea shere, unaonaje tumchape Albadir??
Shekhe kwa bajeti iliyopo bado una omba sahani, hapa tuta tumia jani la mgomba.Plate yangu, iwe na nyama nyingi
MPunga muhimu, sasa tuondoke na njaa? Hata kilo 3 tu ya watu 10,15 hivi.Shekhe kwa bajeti iliyopo bado una omba sahani, hapa tuta tumia jani la mgomba.