dosho12
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 3,700
- 9,839
Hapo utakuwa mtihani shekh wangu, ila tafuta wa mtaani kwako huku wengi wanafanya masikahara 😁Mi nipo Dar es salaam
Hapo utakuwa mtihani shekh wangu, ila tafuta wa mtaani kwako huku wengi wanafanya masikahara 😁Mi nipo Dar es salaam
Waislam hawana ndoa. hiyo inaitwa " "gentlemen contract" Ndoa ni taasisi yenye heshima yake katika kuifunga na kuivunjaBudget ya kharusi yangu ya kislamu nipo sahihi ya siku Moja
Kama una experience na ndoa ya kislamu naomba Ushauri
Chakula 500,000/
Mavazi 500,000/
Usafiri wa kuoa 500,000/
Tent 100,000/
Madufu Madrasa 100,000/
Mapambo 100,000/
Generator&Mziki 100,000/
Dua ya la Kharusi 100,000/
Mpiga Picha 100,000/
Usafiri wa kawaida 200,000/
Shekh wa kuozesha & Bakwata100,000/
Akiba 100,000/
Jumla 2,500,000/
😅 Astaghfirlah, nitake radhi kaka 😁utapeli wa wazi wazi😂
Sijui hata kama unajua maana ya ndoa??Waislam hawana ndoa. hiyo inaitwa " "gentlemen contract" Ndoa ni taasisi yenye heshima yake katika kuifunga na kuivunja
Hakuna bajeti maalumu kwenye ndoa iwe ya kiislamu au nyingine yoyote ileBudget ya kharusi yangu ya kislamu nipo sahihi ya siku Moja
Kama una experience na ndoa ya kislamu naomba Ushauri
Chakula 500,000/
Mavazi 500,000/
Usafiri wa kuoa 500,000/
Tent 100,000/
Madufu Madrasa 100,000/
Mapambo 100,000/
Generator&Mziki 100,000/
Dua ya la Kharusi 100,000/
Mpiga Picha 100,000/
Usafiri wa kawaida 200,000/
Shekh wa kuozesha & Bakwata100,000/
Akiba 100,000/
Jumla 2,500,000/
😂 shehe ubwabwa😅 Astaghfirlah, nitake radhi kaka 😁
Bajeti yake hakuna hata bia hii ni harusi au msiba ? Hata msibani siku hizi tunapaki kwanza gari la maiti pale njia panda tunashuka kuchamba makoromeo kwenye kale ka bar😋Pesa ndogo sana mnapenda kutoa kebeh Kwa vitu vidogo kama Ivo
Watu wanachanga milion 50 harusi tu wewe iyo million 2 unamwambia mwenzako maneno ya kebeh
Huo sio uwekezaji,hiyo sio investment,hiyo sio biashara,Huo uwekezaji anaenda kupata loss
Khaaaaa hujaona Kuna mashekhe hapo jaman😄 ila watu wakorofiBajeti yake hakuna hata bia hii ni harusi au msiba ? Hata msibani siku hizi tunapaki kwanza gari la maiti pale njia panda tunashuka kuchamba makoromeo kwenye kale ka bar😋
Kharusi ni yetu ndoa ni ya kwake , aweke hata bia mbili mbili tu sisi tutakuja tumeshazimuaKhaaaaa hujaona Kuna mashekhe hapo jaman😄 ila watu wakorofi
Unaweza kushangaa na hapo atataka kubargain 😂nishafika, tena tutamfanyia 150k pamoja na dua
Kaka hebu Fanya urud hili lisitupite kuna msosi ujue wa laki tano 😂Hapo utakuwa mtihani shekh wangu, ila tafuta wa mtaani kwako huku wengi wanafanya masikahara 😁
Ngoja niangalie kama ntapata basi la jioni nije huko 😁Kaka hebu Fanya urud hili lisitupite kuna msosi ujue wa laki tano 😂
Nadharau sana kitu kinaitwa HARUSI HASA KATIKA KIZAZI HIKI NI KUJIHAIBISHA TU ...Kama una oa..bora basi kuoa bila ya harusi na mbwembwe nyingi....watu 28 tu wanatosha au chini ya hapo.Budget ya kharusi yangu ya kislamu nipo sahihi ya siku Moja
Kama una experience na ndoa ya kislamu naomba Ushauri
Chakula 500,000/
Mavazi 500,000/
Usafiri wa kuoa 500,000/
Tent 100,000/
Madufu Madrasa 100,000/
Mapambo 100,000/
Generator&Mziki 100,000/
Dua ya la Kharusi 100,000/
Mpiga Picha 100,000/
Usafiri wa kawaida 200,000/
Shekh wa kuozesha & Bakwata100,000/
Akiba 100,000/
Jumla 2,500,000/
HahahaHapo utakuwa mtihani shekh wangu, ila tafuta wa mtaani kwako huku wengi wanafanya masikahara 😁
SijakuelewaWaislam hawana ndoa. hiyo inaitwa " "gentlemen contract" Ndoa ni taasisi yenye heshima yake katika kuifunga na kuivunja
Wazo zuriNadharau sana kitu kinaitwa HARUSI HASA KATIKA KIZAZI HIKI NI KUJIHAIBISHA TU ...Kama una oa..bora basi kuoa bila ya harusi na mbwembwe nyingi....watu 28 tu wanatosha au chini ya hapo.
Wazo zuri-Tent unaweza ndoa funga msikitini baada ya swala ya faradhi.
- Dufu ondoa mkuu, hakuna dalili inayosupport ( na kama itakuwepo basi inafaa iwepo kwa wanawake tu)
- Dua ya ndoa hatuna kitu kama hicho
Funga ndoa msikitini, chakula kinapikwa na kuwa packed kwenye "take away" paper plates kinagawiwa msikitini na kingine kinagawiwa mtaani,, hakuna mkusanyiko.
Picha ni muhimu kwa ukumbusho.