Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,010
- 95,520
Wewe si ndio bingwa wa kuoa j3, kuacha j5 mwambie wewe.Toa ushauri wa ndoa
Wewe si ndio bingwa wa kuoa j3, kuacha j5 mwambie wewe.Toa ushauri wa ndoa
Unanichafulia Cv kwa shemeji yangu we kenge majiWewe si ndio bingwa wa kuoa j3, kuacha j5 mwambie wewe.
Hela nyingi sana hiyo. Sh. 500,000 inatosha kila kituBudget ya kharusi yangu ya kislamu nipo sahihi ya siku Moja
Kama una experience na ndoa ya kislamu naomba Ushauri
Chakula 500,000/
Mavazi 500,000/
Usafiri wa kuoa 500,000/
Tent 100,000/
Madufu Madrasa 100,000/
Mapambo 100,000/
Generator&Mziki 100,000/
Dua ya la Kharusi 100,000/
Mpiga Picha 100,000/
Usafiri wa kawaida 200,000/
Shekh wa kuozesha & Bakwata100,000/
Akiba 100,000/
Jumla 2,500,000/
Vibaya sana, Bora anunue tyu tofali waihuo uwekezaji 2.5M unaoenda kuufanya utapata loss
KabisaHela nyingi sana hiyo. Sh. 500,000 inatosha kila kitu
Nawe umekuwa kataa ndoa lini?, kuoa kwa 2.5 nayo ni nyingi aisee 😅Vibaya sana, Bora anunue tyu tofali wai
Hapana kwakweli ni ndefu sana... Hapo si unanunua bati arifuNawe umekuwa kataa ndoa lini?, kuoa kwa 2.5 nayo ni nyingi aisee 😅
Ko we utafunga ya ngapi?, halafu sherehe na kujenga ni vitu viwili tofauti.Hapana kwakweli ni ndefu sana... Hapo si unanunua bati arifu
Unatoa pesa ya nini jamani Tena. ... Hio pesa Bora utoe fungu la kumi au zakaKo we utafunga ya ngapi?, halafu sherehe na kujenga ni vitu viwili tofauti.
Amazing, hope ndivyo ulivyo.Unatoa pesa ya nini jamani Tena. ... Hio pesa Bora utoe fungu la kumi au zaka
Sku zoteAmazing, hope ndivyo ulivyo.
stay blessed bibie, hope mume ajaye atakuwa na nuru ka wewe.Sku zote
😐😱😱 Haiishi mpaka iishe 😁😁😁👍stay blessed bibie, hope mume ajaye atakuwa na nuru ka wewe.
Au tayari shughuli ilisha malizika?
dah nime cheka sana, hii code ume nipiga nayo 😁.😐😱😱 Haiishi mpaka iishe 😁😁😁👍
Bado hajachelewa, chungu cha 3 saivi. Kuna kisomo tunamsomea ndoa inafungwa.Kudadadeki, akimpata na sharifu Vishu Mtata, hata kwa 60 atafanya.
dua nyingine zita somwa na shekhe msaka tonge makaveli10Bado hajachelewa, chungu cha 3 saivi. Kuna kisomo tunamsomea ndoa inafungwa.
Mpe namba yangu anicheki.
NB. ubwabwa uwepo.