Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 43,954
- 95,351
Please don't confuse me na yule haji Half american, mimi ni raisi wa ma jobless pro max gai gai woii.Shem jipange tukikupendelea sana angalau hiyo iwe mara 5.
Please don't confuse me na yule haji Half american, mimi ni raisi wa ma jobless pro max gai gai woii.Shem jipange tukikupendelea sana angalau hiyo iwe mara 5.
Unanimbia shemela Half american ako na doo?Please don't confuse me na yule haji Half american, mimi ni raisi wa ma jobless pro max gai gai woii.
mkuu wewe hujafata ya mzungu kweli?Oa kwa Mila yako
Na sio kwa Mila za Waarabu:
Hao Waarabu wanakuona kama taka taka:
sijasema hivyo, shida haji Half american yuko kwenye ngo, hao wana pewa hadi grants kutokana na hali yao.Unanimbia shemela Half american ako na doo?
Nakuunga mkono shem hadi upigwe! 😀sijasema hivyo, shida haji Half american yuko kwenye ngo, hao wana pewa hadi grants kutokana na hali yao.
Haji ana jua kusema tu, kupigana hawezi!Nakuunga mkono shem hadi upigwe! 😀
Pale D.I.D bhn ndo sehemu ya kupumzka kupambazuke, Ila supu yao na chapati hamna kitu mzee 😂 😂Bajeti yake hakuna hata bia hii ni harusi au msiba ? Hata msibani siku hizi tunapaki kwanza gari la maiti pale njia panda tunashuka kuchamba makoromeo kwenye kale ka bar😋
Hali yao ipi? Ganisijasema hivyo, shida haji Half american yuko kwenye ngo, hao wana pewa hadi grants kutokana na hali yao.
Shem doo au door? Kama ni door niko nayo kweli 🤣Unanimbia shemela Half american ako na doo?
Ntampiga hatoaminiNakuunga mkono shem hadi upigwe! 😀
Haji kwani hujijui, wewe ukipigwa jua lazima uzimie bhanaHali yao ipi? Gani
binti kiziwi huyu anataka ngo yao wani funge kudadadeki!Ntampiga hatoamini
Ma shemeji zangu mnanipa hedeki 😀Ntampiga hatoamini
Chanzo ni huyo bwamdogo shemMa shemeji zangu mnanipa hedeki 😀
Toa ushauri wa ndoaHaji kwani hujijui, wewe ukipigwa jua lazima uzimie bhana