Natamani nikutumie mkeka uone hapa nawaza kikwazo mweka hazina tu.wewe husemi kweli kabisaa, at least ungesema umepata michango ya harusi milioni 20, ingeingia akilini. lakini milioni 42 unatudanganya tuu hapa na kutupotezea muda
we acha tuu..Nimekukumbusha mbali ee?
ucthubutu mkuu. kuna jamaa alifanya hvyo pale kkoo. amefiwa na mwanae juz kati kajikuta yeyd na mkewe tu. usichezee hisia za watu mkuu. hela zipo tu na utajenga. ningeweza kukushaur cheza na mhazin mbane kidogo bajet angalau zibak kidogo.Wadau ebu naomba ushauri wenu nitarajia kuchukua jiko sasa michango imefika 42 millin na point kadhaa na watu bado wanatoa
Imenijia wazo hizi hela nifanye jambo lingine nina kiwanja Bunju nikajenge nyumba fasta ya japo 35m nipate kustirika kikao cha mwisho sitokei natuma mjumbe mjomba akaaawambie wajumbe kuwa corona hakuna mikusanyiko naoa kimya kimya na watu wachache tu
Naomba ushauri
wazo zuli Sana Mkuu, japo tegemea upinzani Kwa wana kamati lkn pambana. Ni ulemavu wa akili kufanya harusi ya M5. wakati wanandoa wanaenda kupanga tena Kwa Maisha ya kuunga unga
Acheni mawazo ya kimaskini angekuwa hataki ndoa asingechukua michango au angetengeneza kadi za kuomba mchango wa ujenziNakuunga mkono ndoaa zenyewe hizi zinavunjik kilaa siku sometime Ili utoke kimaisha lazima uwe na maamuzi magumu we kajengee tu half trehe ya kikao unaenda lazwa muhimbili corona
Ukitaka kuitwa tapeli la mjini kula hiyo hela yangu!Wadau ebu naomba ushauri wenu nitarajia kuchukua jiko sasa michango imefika 42 millin na point kadhaa na watu bado wanatoa
Imenijia wazo hizi hela nifanye jambo lingine nina kiwanja Bunju nikajenge nyumba fasta ya japo 35m nipate kustirika kikao cha mwisho sitokei natuma mjumbe mjomba akaaawambie wajumbe kuwa corona hakuna mikusanyiko naoa kimya kimya na watu wachache tu
Naomba ushauri
mzee walevi wameshaanza kukurukia, kuwa makini. nilikwambia jenga nyumba wenye akili watakuelewa, alfu hamsini kwa mtu aliyeamua kuachana na kupanga nyumba ajenge yake unaweza samehe. ila walevi kama huyu patachimbika, jiandae.Ukitaka kuitwa tapeli la mjini kula hiyo hela yangu!
Mimi nimkuchangia ili niserebuke aafu wewe unataka kuila!
Kula alafu fiwa na mtu wako wa karibu haafu ita mchango tena, utazika mwenyewe.