Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,615
- 1,904
Naomba niwasaidie kitu juu ya hii mizozo na hii ni matokeo ya akili/uwelewa na maarifa yangu binafsi.
Ni kama hivi;-
Binadamu ni miongoni mwa viumbe hai kama viumbe hai wengine.
Mwenye/wenye uwezo/utashi wa kujitafutia na kufanya siku yake iende akisubiria kufa.
Na hana uwezo wa kabadilisha chochote juu ya mfumo wake wa kuishi japo kwa uwezo wetu tunazani sisi ni viumbe vyenye uwezo hata wa kufahamu nini chanzo chetu na wapi tunakokwenda hili halitowezekana.
Tunavaa nguo na kuziona nzuri kwa upande wetu
Tunatumia simu na kiziona nzuri kwa upande wetu pia
Tunatega vifaa juu tena ni juu kidogo tu tunajion sisi ni bora kuliko mnyama au na kiumbe chochote
Nk ila vyote ni miongoni mwa sheria zetu za kuishi za kila siku na hakuna wa kuweza kubadilisha hili.
Tunachojalibu kukifikilia na kukitafuta ni sawa na kuku au mbuzi au bata kuanza kufikilia kutengeneza sufuria na kuanza kupika.
Haya mawazo hata kuwa nayo na hata kama atakuwa nayo hatoweza kujua kama yatakuwa na umuhimu wowote ule kwake kwani ni nje ya sheria yake ya kuishi.
Katika maisha ya kila kiumbe hai kuna sheria au mipaka sio kila kitu unachokifikilia unaweza ukakifanya au hata ukakifahamu na kikakusaidia katika maisha yako,.
Mfano Mbuzi kuona moto.
Kwake anaweza akasimama hapo mda mrefu ni kama kuushangaa moto huo na asijue umetokea wapi na kwanini upo hapo na una kazi gani aizidi haipungui atakaa tena kidogo kusikilizia tu kijoto anachokipata hapo.
Na akitoka hapo ataenda kuwasimulia mbuzi wenzake kuwa kaona (Duli) na asijue kuwa unaitwa moto na atasema (duli) ni kiashiria upendo kutoka kwa mungu. Na mbuzi wenzie watamwamini kutokana na wenda ni kwasababu ya ushawishi wake au uongozi wake katika jamii.
Vitu kama hivi hata kwetu vipo mfano jua, upepo, mwezi, nyota nk
Unaweza ona "JUA" (soon) kumbe mwenyewe anajina lake analojiita lakini sio hata "jua" na hakuna wa kukwambia kwanza hauna mawasiliano nao na pili kwakuwa sheria na tamaduni zenu za kuishi haziendani na zake unaeza ona hata "jua na mwezi" wana mwasiliano tena mazuri tuu ila huta kaa utambue una eza ona kuchomoza kwa mwezi kwako ni kama ka mchezo furani kasiko na maana maarumu/au hata ukazani kwa ajili yako wewe ili uanze kufunga ramadhani, kumbe mwezi mwenye anamajukumu yake anayoyafanya hapo bila ya wewe kujua.
Na unaeza ona kazi ya "jua" kwako kumbe ina kazi kubwa hata majukumu mengi zaidi ya hapo tujuavyo na hautakaa utambue.
Baadhi ya wasomi wa dini Maandiko yakifananiana na hiki kitu
Wanakwambia binadamu hata aungane na majini hawateza badilisha kitu (flani) wenyewe wanakijua.
Hutaweza jua nini kipo njuma ya pazia.
Hutaweza jua kwanini kuku naweka asubuhi ila wenyewe wanajua kwanini,
Hataeza jua kipaji cha mbwa kunusa na wanamambo amizing katika dunia na wainjoy pia na wewe ndo wanakuona kama mbwa sasa.
Ila hamjijui.
Alamsiki