Tlg
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 804
- 612
Sasa bila sayansi ya anga kungekuwa Na GPS ambayo MTU anarusha bomb kutoka marekani Na kutua chooni kwako kwa pin point accuracy.Hapa tunaongelea Sayansi ya anga na Cosmology.
Unadhani sio real ??
Sasa bila sayansi ya anga kungekuwa Na GPS ambayo MTU anarusha bomb kutoka marekani Na kutua chooni kwako kwa pin point accuracy.Hapa tunaongelea Sayansi ya anga na Cosmology.
Nani alienda kwenye msiba akaleta ushahidi??Nyota tunazo ziona juu nyingi zimesha kufa miaka mingi sana tulicho salia ni kuona mwanga wa nyota ambao bado upo safarini
Poa. Hili jambo zito sana kwenu.Huwa mnauliziwa elimu zenu sababu mnapost ujinga. Hua hamtambui hilo.
Na sio MTU anashundwa kuwaelezea lakini anashindwa aanzie wapi maana anaona hakuna hope pia halipwi.
Big bang is the science God.Kama space imeanza baada ya big bang naomba kujua hivi..
Big bang ni mripuko na kuna ambavyo viliripuka vikaripukia sehemu tofauti tofauti kama tunavyojua mripuko.
Na kabla ya mripuko manake ilikuwa tu hiyo matter manake haijaripuka.
Na matter maana yake tunaambiwa :kitu chochote chenye uzito na kinachochukua space.
Sasa ukisema space na time vimeanza baada ya huu mripuko nataka kujua hii matter yenyewe ambayo baadae iliripuka je haikuchukua nafasi kama ilivyo sifa ya matter ?
Kama haikuchukua nafasi je matter definition ya matter haiko sawa ?
Kama ilichukua nafasi huoni kuwa space ilikuwepo kabla ya huo mripuko na ndio maana vile ambavyo viliripuka vilipata nafasi ya kukaa vikisubiria big bang ?
Hapo sawa mkuu.big bang nayo inakosa majibu zaidi
Hazikuwepo there was nothingHivi laws of physics zilikuwepo kabla bing bang? Zilijificha wapi kusubiri kwa hamu bing bang to bang?
Kwahiyo sasa hivi ina au hai make sense siyo ? Nyinyi wa kupigwa makofi kabisa mmekuwa wajinga mpaka kufikiria na kuhoji hamuwezi tena.Mkuu unahitaji msaada sana.
Unachukua quote za Einstein za mwaka 1900 ya mwanzoni huko seriously kabisa.
Hio sio theory just opinion Na kwa wakati huo maybe it made sense not anymore
Soma nilichokiandika ukielewe.Sasa bila sayansi ya anga kungekuwa Na GPS ambayo MTU anarusha bomb kutoka marekani Na kutua chooni kwako kwa pin point accuracy.
Unadhani sio real ??
Unaamini katika Mungu?Mimi hainiingii akilini ndo mana siwezi kuelezea namna ninavyoelewa.
Elezea wewe kisha tukuulize maswali.
Mimi akili yangu hainipi kuwa aati nothing can create something,hiyo hainipi kabisa yani,lasima kuwe na something hata kama kiduuchuuuu ndo kiwe chanzo chenyewe.
Sasa wewe elezea kisha tuwe tunakuuliza mkuu.
May be one day tutaelewa or may be our brains capacity hazina uwezo wa kuelewa baadhi mambo ni too complicated.Hapo sawa mkuu.
Hili ndo ambalo nilitaka kulisikia kwamba hata wanasaysnsi huwa wanakosaga majibu pia.
Hapo sawa siwezi kufosi majibu kwa mtu ambaye kakiri hana majibu.
Huwa zinacollide piaWanasayansi gani hao wanaosema kuna mkusanyiko wa Universe? Wakati wanasma universe ina expand kwa speed of light zinge collide. Vyote vingine viko ndani ya this single universe.
Naam mkuuUnaamini katika Mungu?
Kabisa mkuuMay be one day tutaelewa or may be our brains capacity hazina uwezo wa kuelewa baadhi mambo ni too complicated.
Nimekusoma sana Na uzuri nakuelewa vizuri sheikhSoma nilichokiandika ukielewe.
Mungu alitokea wapiNaam mkuu
Mimi nimesema hivi kwamba kisichokuwa kitu hakiwezi kutengeneza kitu.nothing can create something
Mimi sijasema hivyo rejea nilichosema.nothing can't create something
Sasa hili mbona hujaelewa ?Nimekusoma sana Na uzuri nakuelewa vizuri sheikh
Mlipuko kuwepo kabla ya vilipuzi,yaani moto kutokea kabla ya petroli na kiberiti!!🤪🤪🤪😂Kwa hiyo bing bang ni mripuko uliotokea bila kitu chochote kile kama ukisema hivyo vitu vilifuata baada ya big bang ?
Hapo hapo unasema ulimwengu ulikuwa kama chembr ya atom.hii bila shaka unakusudia kabla ya big bang ulimwengu ulikuwa zaidi ya chembe ya atom.
Sasa kwa maelezo haya manake tunakubaliana kuwa ulimwengu kabla ya big bang ulikuepo ila ulikuwa mdogo zaidi ya atom,ama sivyo ?
HahhahMlipuko kuwepo kabla ya vilipuzi,yaani moto kutokea kabla ya petroli na kiberiti!!🤪🤪🤪😂
Nakuja na kiberiti changu pamoja na petroli nakuta moto tayari umeshatokea!😄😄😄Hahhah