Kabla ya kuendelea naomba nihoji kwanza umri na elimu yako,maana isije ikawa namuelewesha mtoto wa form 2 darasa la arts mambo yaliyo nje ya uwezo wake!
Hizi ni ishara za kushindwa hoja, umri wangu hauta kusaidia lolote wala hwuta kufanya wewe uwese kujibu maswali ninayo kuuliza.
Mwaga vitu mzee, ili uone tofauti kati yw kukakriri na kuelewa.
Nasema hivyo kwa sababu naona unauliza historia ya nyuma watu wamejuaje,Kama ni msomi najua unajua kifaa kinachotumia C-14 kuonyesha umri wa kitu.
Nakisikia sikia tu, embu nipe somo juu ya hicho kifaa na uniambie kinafanya vipi kazi , unaweza kunithibishia ya kuwa majibu yanayo tokana na C-14 ni kweli ? Au ukishapewa namba tu unatosheka ?
Kama unajua physics huwezi kuhoji dunia kuzunguka jua!
Lazima tuhoji, sababu wewe umeshaaminishwa ya kuwa Sayansi ndiyo sahihi zaidi lini uta hoji ? Msingi wa sayansi ni dhana, ndiyo maana utaona leo wamesema hivi kesho wanabadilika wanasema vile ? Sasa vipi tusihoji ?
Kitambo kidogo huko nyuma Wanasayansi walituambia "Universe is Eternal/Eternal Universe", leo hii kuna mambo ya Second Law of Thermodyanamics /Entropy mpaka wakafikie kuelezea Heat Death na kuonyesha ta kuwa Universe siyo Eternal. Kwahiyo lazima tuhoji kijana. Sasa wewe kama uhoji lazima ujione unajua kumbe hujui.
Unaifahamu Voyage 2? Hiki chombo ni cha kwanza kutoka nje ya solar system na kupiga selfie ya solar system!
Ulithibitisha ka ni kweli au umesikia na kusoma mitandaoni. ? Wewe kama wewe ulivyo pata hiyo habari,ulichukua hatua gani kuiahkiki ?
Unaweza kunithibitishia kuna "Solar System" ?
Kuna mambo mengi ambayo huyafahamu na kwa kutokufahamu kwako hakubadilishi uhalisia wa mambo.
Haya tunayaita mazungumzo baada ya habari, acha story weka ithibati hapa.
Ushauri : Soma sana na omba msaada uelekezwe mambo yalivyo kabla ya kufanya hitimisho kwa mambo yanayoonekana kuwa nje ya uwezo wako.
Mimi mwisho wangu wa kusoma ni pindi pale nafsi yangu itakapo rudi kwa Mola wangu, maadamu niko hai siwezi kuacha kusoma na sijawahi kuacha kusoma.
Ukirudi tena naimani utakuja na hoja na ushahidi wa kisayansi na siyo tena "ngano na vitimbi vya wanasayansi"
Ahsante.