Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,222
- 31,553
Wakipata wanacho kitafuta huenda watapata faida zaidi, assume wagundue sayari yenye kuweza kusupport uhai kama dunia ilivyo, au wakundue extra terrestrial ambao wako advanced kuliko sisi yani wana teknolojia ambayo iko so advanced kiasi kwamba sisi yetu inaonekana kama enzi za mawe?Kwa kweli hata mimi siwaelewi hawa NASA wapo bize na vitu ambavyo havina faida kwa binaadam
Maana sijawahi kusikia NASA wameenda kuchimba dhahabu sayari ya Mars au Mwezini