Nakubaliana na wewe kuwa kuhoji ni swala muhimu ila kuna mambo ya kuhoji mpaka karne hii bado unahoji dunia kuzunguka jua!? Huo muda tulishaupita sasa tafiti zinazofanywa ni kubwa zaidi.
Huo muda umeupita wewe ila wachunguzi wa mambo na wanasayansi wakubwa hawakulikalia kimya jambo hili, lazima marekebisho yawekwe na ukweli utawale.,nakuu :
Lincoln Barnett (1909-1979CE) wrote in his book: “The Universe and Dr.
Einstein” (with a forward by Einstein himself), “... for we cannot feel our
motion through space; nor has any physical experiment ever proved that the
earth actually is in motion.”
Stephen Hawking wrote: “Although it is not
uncommon for people to say that Copernicus proved Ptolemy wrong, that is
not true... one can use either picture as a model of the universe, for our
observations of the heavens can be explained by assuming either the earth
or the sun to be at rest.”
Sasa wewe unae sema yamepitwa na wakati wakati bado yanaenezwa na kufanyiwa kazi, inabidi utueleze wapi yamepitwa na wakati ?
Teknolojia inabadilika na yale yaliyoonekana hayawezekani sasa yanawezekana! Siku si nyingi space x wamepeleka falcon 9 kwenye orbit ambapo wanaweza kuiona dunia ikiwa round lakini jiulize kuna mtu bado atakwambia dunia ni flat 🤣🤣🙌🙌
Umehakikisha vipi kama hizi habari ni za kweli, au unapenda kusikia tu bila kuhoji na unapenda kuona tu kuzingatia ?
Sayansi ina ngano zake na visasili vyake na haya mambo ya Space X ni miongoni mwayo bali ni muendelezo wa uongo a yale maigizo yaliyo fanyika A51 katika kituo cha NASA, leo hoi naona anakuzwa Elon Musk na kampuni yake ya Space X, wanapeana vijiti tu,kuwasimuloa story nzuri zenye kuvutia.