Universe ni Ndogo: No light years between Planets or Galaxies

Sorry what is universe in its real meaning... What's the different between galaxy, world and earth

Jr[emoji769]
Universe imebeba vyote. Labda tuanze kwenye hii Solar system yetu kuna Jua (Sun) na sayari nane, ukiachilia mbali ile ya Pluto, pia kuna nyota na small black holes.

Mbali na hii solar system yetu kuna nyota zingine zenye gravitation kubwa nazo zinauwezo wa kutengeneza solar sytem nyingine na kuna sayari zingine pia zinazizunguka. Kuna nyota nyingine ni kubwa zaidi ya "The Sun". Sasa mkusanyiko wa hizo solar system zinashikiliwa na a large massive thing called a Black Hole. Sasa hiyo Black hole inakuwa at the centre na ndiyo inashikilia vyote inatengeneza kitu kinaitwa Gallaxy. Gallaxy yetu inaitwa Milk Way.

Sasa Gallaxy pia zipo nyingi zenye tabia tofauti tofauti. Mkusanyiko wa Gallaxies tunapata kitu kinaitwa Cluster.

Cluster na zenyewe zipo nyingi, mkusanyiko wake tunapata kitu kinaitwa Super Cluster. Mkusanyiko wa Super Clusters tunajipata ndani ya anga kubwa ndiyo linaitwa Universe.

Ukija kwenye maswala ya kiroho inasadikika mbingu ya kwanza na ya pili zipo ndani ya universe. Anga la kwanza hadi la saba pia ni ndani ya universe. Nje ya universe ndiyo sijui, japo wanasayansi wanasema bado kuna Multverse, yaani mkusanyiko wa Universes.
 
Sijazungumzia nje ya universe kwa sababu najua universe ni kitu kikubwa. Gallaxies ndo ziko nyingi
Unamaanisha wamba kuna zillions of unversies??? Ni according to you au?
 
Unajua sijakuelewa, ila ninalojua kuna universe moja with zillions of galaxies
 
Labda pitia hii

Wanasayansi gani hao wanaosema kuna mkusanyiko wa Universe? Wakati wanasma universe ina expand kwa speed of light zinge collide. Vyote vingine viko ndani ya this single universe.
 
Zipo, ngoja nikuletee link ya clip flani hivi uichek, halafu sio hiyo tu kuna vitu vingine vingi vingi nimevisoma vinazungumzia Multiverse.
Wanasayansi gani hao wanaosema kuna mkusanyiko wa Universe? Wakati wanasma universe ina expand kwa speed of light zinge collide. Vyote vingine viko ndani ya this single universe.
 
Wanasayansi gani hao wanaosema kuna mkusanyiko wa Universe? Wakati wanasma universe ina expand kwa speed of light zinge collide. Vyote vingine viko ndani ya this single universe.
 
Wanachosema wanasayansi kwa tafiti walizofanya ni kuwa ulimwengu hauna mipaka. Hauna mwanzo wala mwisho. Hauna hapa ndiyo katikati yake. Utanukaji wake unatanuka kwenye hali isiyokuwa na chochote.

Ulimwengu upo unatanuka kwenye hali isiyokuwa na chochote, na bado unatanukia kwenye hali hiyo hiyo isiyokuwa na chochote.
Kama mambo yako hivyo suala la kutanuka unalipimaje wakati kinachotanuka ni nothing na kinatanukia kwenye nothing mkuu ?

Kwa sababu kusema kuwa ulimwengu unatanuka manake unataka kuuwekea mipaka ulimwengu ,

Ili ujue kitu kinatanuka basi lazima uwe na kinachotanuka,na kinachotanukiwa.

Sasa kinachotanuka ni empty kabisa,na hicho kinachotanukiwaa ni empty,sasa hapo unapimaje huo utanukaji,na umejulikana vipi wakatti hakuna mipaka baina ya ulimwengu na kule ambako ulimwengu unatanukia...
 
Unavyotanuka ndivyo inatengeneza space na galaxies, sasa kilichopo hiyo nothing na mimi akili yangu inashindwa kuchakata what does nothing real mean
There is nothing in nothing...
Hahahha haya mambo bwana dah..

Kwa sababu kama ulimwengu unapotanuka ndo unatengeneza space ,manake hapa tujue je kabla ya ulimwengu kutanuka hakukuwa na ulimwengu ?

Na je hiyo sehemu ambayo ulimwengu haujatanukia bado sio ulimwengu ?
 
Kila mtu hapa duniani ana interest zake,wengine interest zao ni kumfuatilia Zuchu,Kiba,wanawake wa diamond au kula tunda kimasihara,wengine ni kufuatilia maisha ya viumbe hai duniani,wengine ni kufuatilia universe na galaxies,wengine kuifufua NCCR mageuzi na kila mmoja anawekeza pesa zake huko kwenye interests zake kulingana na uwezo wake,ili mradi yote maisha tu.
Nini faida za moja kwa moja tunazozipata kutokana na kugundua mambo ya kwenye sayari nyingine?
Kwanini mataifa makubwa yana invest million dollars kwenye tafiti hizo?
 
Back
Top Bottom