Universe ni Ndogo: No light years between Planets or Galaxies

Sidhani kama tutaifikia hiyo level ya kwenda future au past kiuhalisia.
Kwanza hakuna kitu kama hiki. Hv katika akili ya kawaida kabisa hata kama umeishia kindergarten c, umewahi kuongea neno ukahisi ni baya ukaamua kulirudisha lilikotoka?
 
Ikiwa mambo yako hivi manake universe ni kama lea flani ambayo inatanuka.

Nahapo tukifikiria vizuri tutaona kuwa kama ni hivyo manake hapo kuna vitu vitatu.

Kuna universe yenyewe ambayo ndo inatanuka.

Kuna space ambayo universe ndo hutanukia.

Na kuna mpaka baina ya universe na kitanukiwa.

Sasa jee kule ambako universe hutanukia,yaani kule kunakotanukiwa na universe,yani kabla ya universe haujatanuka,vipi kule ambako tunatarajia universe utanukie sio universe nako ?

Kama sio universe ni wapi huko ?

Kama ni universe dhana ya kutanuka inakufa hapo.
Hapo ndiyo tatizo ? Kama univs inatanuka basi lazima kuna nje ya univs je huko nje kunaitwaje ?
 
Wanachosema wanasayansi kwa tafiti walizofanya ni kuwa ulimwengu hauna mipaka. Hauna mwanzo wala mwisho. Hauna hapa ndiyo katikati yake. Utanukaji wake unatanuka kwenye hali isiyokuwa na chochote.

Ulimwengu upo unatanuka kwenye hali isiyokuwa na chochote, na bado unatanukia kwenye hali hiyo hiyo isiyokuwa na chochote.
Kama ulimwengu hauna mwanzo wala mwisho vipi utanuke kama unatanuka basi unaukingo yani mpaka Wa ulimwengu
 
Hapo ndiyo tatizo ? Kama univs inatanuka basi lazima kuna nje ya univs je huko nje kunaitwaje ?
Wanasema huko nje kuna Multverse yaani universe zipo nyingi halafu zimejipanga parallel. Albert Einstein aliwahi kuja na Theory moja inadai kwamba kuna Features tunaweza kuziona huku duniani lakini source yake sio huku duniani au kwenye universe yetu. Nitatoa mifano miwili.

1. Satellite za NASA zilipopita juu ya bara la Antactica ziliface high electrons zinazotokea duniani eneo lile. Lakini walipochunguza wakaona hakuna source ya electrons pale. Wakahisi huenda electrons zile zinatokea kwenye universe nyingine ambayo iko parallel na yetu.

2. Ukienda sehemu ambayo hujawahi kwenda kabisa. Lakini nafsi inakuambia kabisa hapo uliwahi kufika na unapafahamu. Theory hiyo inadai huenda wewe huyo huyo unaishi universe nyingine na umefika hilo eneo. Pia Theory inadai mtu mmoja unaweza kuishi kwenye parallel universe huku ukawa Polisi. Kule kwenye universe nyingine wewe ni Daktari, kwenye nyingine tena wewe ni Raisi wa nchi. Ila katika different parallel universes.
 
Yanaibua maswali mengi kuliko majibu. Kuyasoma na kuyazingatia Mambo ya unajimu ni kutafuta kichaa
Unaelewa kwamba waliokutangulia wangefikiri kama unavyofikiri wewe hivyo, leo hii usingekuwa na internet ya kuweza kuandika hiki ulichoandika huko ulikoandika, halafu mimi nikaona huku nilipo, kupitia simu yangu?

Unaelewa kwamba hesabu zilizotumika katika kujua utafiti wa mambo ya anga, zimetusaidia kurusha satellite angani na kutupa internet?
 
Wanasema huko nje kuna Multverse yaani universe zipo nyingi halafu zimejipanga parallel. Albert Einstein aliwahi kuja na Theory moja inadai kwamba kuna Features tunaweza kuziona huku duniani lakini source yake sio huku duniani au kwenye universe yetu. Nitatoa mifano miwili.

1. Satellite za NASA zilipopita juu ya bara la Antactica ziliface high electrons zinazotokea duniani eneo lile. Lakini walipochunguza wakaona hakuna source ya electrons pale. Wakahisi huenda electrons zile zinatokea kwenye universe nyingine ambayo iko parallel na yetu.

2. Ukienda sehemu ambayo hujawahi kwenda kabisa. Lakini nafsi inakuambia kabisa hapo uliwahi kufika na unapafahamu. Theory hiyo inadai huenda wewe huyo huyo unaishi universe nyingine na umefika hilo eneo. Pia Theory inadai mtu mmoja unaweza kuishi kwenye parallel universe huku ukawa Polisi. Kule kwenye universe nyingine wewe ni Daktari, kwenye nyingine tena wewe ni Raisi wa nchi. Ila katika different parallel universes.
BIG NO
 
Watakwambia ni mwanga kwanza unatakiwa ulifikie jicho ndo liweze kuona.
Yaani katika vitu naonaga ni uwongo mweupe ni hiyo kitu ya kuambiwa "jicho halijenereit mwanga bali mpaka mwanga from the source of light uje uakisiwe ndo jicho lione"
 
Kuna mwembe, kuna mpunga, kuna magimbi, kuna mchenza n.k, lakini yote ni mimea japo ina sifa tofauti lakini yote ni mimea tofauti yake ni kwamba kila mmoja una jina lake.
Hata sayari ni hivyo hivyo kuna sifa ya kitu kuwa sayari lakini kila sayari pia ina jina lake.
Tofauti siyo jina hujamwelewa mkuu... wanatuambia dunia pekee ndio ina mimea na wanyama (viumbe hai) sasa kwanini iendelee kuingia kundi moja na hizo nyingine
 
Kama mambo yako hivyo suala la kutanuka unalipimaje wakati kinachotanuka ni nothing na kinatanukia kwenye nothing mkuu ?

Kwa sababu kusema kuwa ulimwengu unatanuka manake unataka kuuwekea mipaka ulimwengu ,

Ili ujue kitu kinatanuka basi lazima uwe na kinachotanuka,na kinachotanukiwa.

Sasa kinachotanuka ni empty kabisa,na hicho kinachotanukiwaa ni empty,sasa hapo unapimaje huo utanukaji,na umejulikana vipi wakatti hakuna mipaka baina ya ulimwengu na kule ambako ulimwengu unatanukia...
Wakikujibu ukaridhika, nitaomba unieleweshe majibu yao.
 
Wanasema huko nje kuna Multverse yaani universe zipo nyingi halafu zimejipanga parallel. Albert Einstein aliwahi kuja na Theory moja inadai kwamba kuna Features tunaweza kuziona huku duniani lakini source yake sio huku duniani au kwenye universe yetu. Nitatoa mifano miwili.

1. Satellite za NASA zilipopita juu ya bara la Antactica ziliface high electrons zinazotokea duniani eneo lile. Lakini walipochunguza wakaona hakuna source ya electrons pale. Wakahisi huenda electrons zile zinatokea kwenye universe nyingine ambayo iko parallel na yetu.

2. Ukienda sehemu ambayo hujawahi kwenda kabisa. Lakini nafsi inakuambia kabisa hapo uliwahi kufika na unapafahamu. Theory hiyo inadai huenda wewe huyo huyo unaishi universe nyingine na umefika hilo eneo. Pia Theory inadai mtu mmoja unaweza kuishi kwenye parallel universe huku ukawa Polisi. Kule kwenye universe nyingine wewe ni Daktari, kwenye nyingine tena wewe ni Raisi wa nchi. Ila katika different parallel universes.
Kudaadeki hii hoja namba mbili [emoji119][emoji119][emoji23]. Sijui nilikuwa wapi wakati wenzangu wanasoma Geography.
 
Dunia na hizo nyingine zinalizunguka Jua katika mfumo unaokaribiana au kufanana
Tofauti siyo jina hujamwelewa mkuu... wanatuambia dunia pekee ndio ina mimea na wanyama (viumbe hai) sasa kwanini iendelee kuingia kundi moja na hizo nyingine
 
Kama jicho linajeneriti mawanga kwa nini hauwezi kuona katika giza totoro?
Yaani katika vitu naonaga ni uwongo mweupe ni hiyo kitu ya kuambiwa "jicho halijenereit mwanga bali mpaka mwanga from the source of light uje uakisiwe ndo jicho lione"
 
Tofauti siyo jina hujamwelewa mkuu... wanatuambia dunia pekee ndio ina mimea na wanyama (viumbe hai) sasa kwanini iendelee kuingia kundi moja na hizo nyingine
At a point in life hizo sayar zilikua na viumbe hai.sayar za mwanzo zile

Ustake knowledge zaid..mambo ni meng..kumbuka jua lina tanuka.joto la sasa na mwanga wa sasa sio ulivyokua miaka bil kadhaa nyuma..kadir balance ya joto na mwanga inavyokua ndo support ya uhai inavyokua..higher joto na higher mwanga no life..less joto na less mwanga no life..life inataka moderate..dunia iko moderate...kumbuka light ni energy..mmea hauwez ishi wala kutoa hewa bila light..binadam hawez survive au kiumbe mwingne hawz survive bila light..BUt vyote hvyo lazima viwe kwenye balance sio high wala sio low..moderate ndio uhai unapotokea..so planet za kwanza zilikua na viumbe at a time.ila planet hzo zmekufa kwa sabab ya kimazingira kutokana na jua na tabia yake
 
Wanasema huko nje kuna Multverse yaani universe zipo nyingi halafu zimejipanga parallel. Albert Einstein aliwahi kuja na Theory moja inadai kwamba kuna Features tunaweza kuziona huku duniani lakini source yake sio huku duniani au kwenye universe yetu. Nitatoa mifano miwili.

1. Satellite za NASA zilipopita juu ya bara la Antactica ziliface high electrons zinazotokea duniani eneo lile. Lakini walipochunguza wakaona hakuna source ya electrons pale. Wakahisi huenda electrons zile zinatokea kwenye universe nyingine ambayo iko parallel na yetu.

2. Ukienda sehemu ambayo hujawahi kwenda kabisa. Lakini nafsi inakuambia kabisa hapo uliwahi kufika na unapafahamu. Theory hiyo inadai huenda wewe huyo huyo unaishi universe nyingine na umefika hilo eneo. Pia Theory inadai mtu mmoja unaweza kuishi kwenye parallel universe huku ukawa Polisi. Kule kwenye universe nyingine wewe ni Daktari, kwenye nyingine tena wewe ni Raisi wa nchi. Ila katika different parallel universes.
Kuna season flan ya the flash wameelezea hii kitu
 
Unapanuka kwa maana gani mkuu ?

Kwamba mwanzo ulimwengu ulikuwa kama puto alafu kadri siku zinavyokwenda ndo ulimwengu unapanuka kama vile ambavyo mtu anaouliza puto nalo kupanuka mkuu ama kupanuka kivipi ?
universe expansion
 
Back
Top Bottom