Universe ni Ndogo: No light years between Planets or Galaxies

Universe ni Ndogo: No light years between Planets or Galaxies

Masuala ya anga yanachanganya sana. Embu tufikirie kwa upana nje ya darasa kisha turejee kwa uchache darasani.
Hujauliza swali lolote linalochanganya labda wewe ndiye unajichanganya ebu uliza swali unalohisi linachanganya maana wasema nifikirie nje ya darasa una hakika gani sijafikiria nje ya darasa?
 
Umeanza kubisha kabla hata ya kuelewa concept yenyewe haha! alafu unajifanya mwanasayansi.
Unadhani kwa nini hizo images wanazoonyesha wanasema ni za miaka ya nyuma? Mwanga umesafiri miaka bilioni kadhaa ukafika hapa leo, picha tuliyopiga sio ya leo ni ya mwanga uliosafiri toka kipindi kile, kungekua na technology ya kukupeleka kwenye hizo galaxies leo hii ndani ya sekunde basi ungefika ungeona pako tofauti kabisa na picha zinazopigwa na telescopes.

So speed ya mwanga ni ileile, ambacho wewe hujaelewa tu ni kua picha tunazopiga leo si za kinachoendelea leo leo bali ni kitu kilichotokea miaka bilioni kadhaa ya nyuma ila sisi tunakiona leo, ni kama tunaona into the past vile, ila sio past yetu, ni past ya hizo galaxies za mbali, same goes kama kuna watu huko na wana telescopes basi hawatuoni, wanaona dunia ilivyokua miaka bilioni kadhaa nyuma kulingana na umbali waliopo. Yawezekana leo hii huko kwao kuna advanced civilizations kama sisi tu ila they can't bridge the distance gap, hilo ndo tatizo kubwa.

Time is relative usisahau hicho kitu. Ungesoma physics in deep ungeelewa. Soma ujue tuna-calculate vipi distance ya objects kutoka duniani utagundua kua ni sayansi moja very accurate.
 
Sorry what is universe in its real meaning... What's the different between galaxy, world and earth

Jr[emoji769]
Universe- void of infinity space made of black matter in which there is the collection of what is believed to be 2 trilion stars

Galaxy- collection of star systems spinning at a common center moving in space, all galaxies move away from the common center and are believed to have huge black hole at the center

Earth- our planet

World- everyone perception of what is real to his mind and what makes up of the known life surrounding him(or her)
 
Ndiyo unapanuka kwa style hiyo tena kwa kasi ya mwanga
Ikiwa mambo yako hivi manake universe ni kama lea flani ambayo inatanuka.

Nahapo tukifikiria vizuri tutaona kuwa kama ni hivyo manake hapo kuna vitu vitatu.

Kuna universe yenyewe ambayo ndo inatanuka.

Kuna space ambayo universe ndo hutanukia.

Na kuna mpaka baina ya universe na kitanukiwa.

Sasa jee kule ambako universe hutanukia,yaani kule kunakotanukiwa na universe,yani kabla ya universe haujatanuka,vipi kule ambako tunatarajia universe utanukie sio universe nako ?

Kama sio universe ni wapi huko ?

Kama ni universe dhana ya kutanuka inakufa hapo.
 
Universe- void of infinity space made of black matter in which there is the collection of what is believed to be 2 trilion stars

Galaxy- collection of star systems spinning at a common center moving in space, all galaxies move away from the common center and are believed to have huge black hole at the center

Earth- our planet

World- everyone perception of what is real to his mind and what makes up of the known life surrounding him(or her)
Great n wonderful [emoji120][emoji120][emoji120][emoji123][emoji123][emoji109][emoji109][emoji109]

Jr[emoji769]
 
Ikiwa mambo yako hivi manake universe ni kama lea flani ambayo inatanuka.

Nahapo tukifikiria vizuri tutaona kuwa kama ni hivyo manake hapo kuna vitu vitatu.

Kuna universe yenyewe ambayo ndo inatanuka.

Kuna space ambayo universe ndo hutanukia.

Na kuna mpaka baina ya universe na kitanukiwa.

Sasa jee kule ambako universe hutanukia,yaani kule kunakotanukiwa na universe,yani kabla ya universe haujatanuka,vipi kule ambako tunatarajia universe utanukie sio universe nako ?

Kama sio universe ni wapi huko ?

Kama ni universe dhana ya kutanuka inakufa hapo.
Kule there is nothing. Mkuu sasa hapa umeuliza kitu ambacho kinaleta logic namini kitu ambacho uwa kinanichanganya iwe kwa muktadha wa sayansi au dini. Wakisema kutokuwepo kitu ina maana hakuna mwanga, hakuna space (nafasi), hakuna maji, hakuna hewa, hakuna giza, hakuna anything so kuna nini yani kutokuwepo kwa kitu akili zangu za kibinadamu haziwezi kuelewa. Lakini ni kwasababu akili zetu haziwezi kufikiria nje ya vitu tunavyojua.
Na hii ndiyo maana muda mwingine uwa napingana na wanasayansi kudai kuwaa sayari nyingine hazina uhai kwa kujaribu kutafuta sayari zenye mazingira sawa na dunia, eti ziwe na oxygen na maji?
Kwani ni lazima viumbe vingine vihitaji hayo kuishi? What if viumbe hao wengine wana mechanism tofauti na ya hapa duniani, hawahitaji maji kuishi, hawahitaji oxygen kuishi, miili yao haijatengenezwa kwa mfumo wa viumbe wa kidunia.
 
Kifupi hizi vitu kama hukua mfuatiliaji wa karibu kabla computer yako kichwani haijaingia maji kuvielewa sshv ni mtihani labda uwe unavisikia kama story ama story za kusadikika tofauti na hapo huwezi elewa
 
Kule there is nothing
Haha sawa mkuu there is nothing na ndio maana ulimwengu unatanukia huko.mfano puto haliwezi kutanuka ukiwa umwliweka chini ya ardhi kwa sababu nje ya puto kuna udongo.

Sasa kwa dhana ya ulimwengu kutanuka manake ili utanuke inatakiwa huko kunakotanukia kuwe hakuna kitu ili ulimwengu uwe na nafasi ya kutanuka.

Sasa hapaa je ulimwengu,mpaka wa ulimwengu na kule kunakotanukiwa kuna tofauti gani ?

Yani je ncha ya ulimwengu ambayo huko ndo hutanuka(kama ncha ya puto)je kuna tofauti gani na huko ambako ulimwengu hutanukia ambako there is nothing ?

Ama ulimwengu unaotanuka na huko unakotanukia kote there is nothing ?

Kwa hiyo itakuwa nothing ina expand to the nothing ....😊😊😊😊
 
Nini faida za moja kwa moja tunazozipata kutokana na kugundua mambo ya kwenye sayari nyingine?
Kwanini mataifa makubwa yana invest million dollars kwenye tafiti hizo?
Faida ya kubwa tofauti na kugundua hiki na kile ni madini, tunategemea kukutana na madini tofauti na haya tuliyo nayo ambayo yatatuwezesha kufanya mambo mengi ambayo 2nayafikiria ila tuna kwama kwa 7bb ya madini gani ya2mike ili kukidhi hzo project mf. Chombo kitakacho tembea anga za juu kwa speed kubwa na kwa uhimara tunao tegemea itatuwezesha kufika mbali zaidi angani kama si kutua kabisa ktk baadhi za sayari na kurudi kwa haraka na salama mithili ya u.f.o na vingine vingi
 
Haha sawa mkuu there is nothing na ndio maana ulimwengu unatanukia huko.mfano puto haliwezi kutanuka ukiwa umwliweka chini ya ardhi kwa sababu nje ya puto kuna udongo.

Sasa kwa dhana ya ulimwengu kutanuka manake ili utanuke inatakiwa huko kunakotanukia kuwe hakuna kitu ili ulimwengu uwe na nafasi ya kutanuka.

Sasa hapaa je ulimwengu,mpaka wa ulimwengu na kule kunakotanukiwa kuna tofauti gani ?

Yani je ncha ya ulimwengu ambayo huko ndo hutanuka(kama ncha ya puto)je kuna tofauti gani na huko ambako ulimwengu hutanukia ambako there is nothing ?

Ama ulimwengu unaotanuka na huko unakotanukia kote there is nothing ?

Kwa hiyo itakuwa nothing ina expand to the nothing ....😊😊😊😊
Unavyotanuka ndivyo inatengeneza space na galaxies, sasa kilichopo hiyo nothing na mimi akili yangu inashindwa kuchakata what does nothing real mean
 
Haha sawa mkuu there is nothing na ndio maana ulimwengu unatanukia huko.mfano puto haliwezi kutanuka ukiwa umwliweka chini ya ardhi kwa sababu nje ya puto kuna udongo.

Sasa kwa dhana ya ulimwengu kutanuka manake ili utanuke inatakiwa huko kunakotanukia kuwe hakuna kitu ili ulimwengu uwe na nafasi ya kutanuka.

Sasa hapaa je ulimwengu,mpaka wa ulimwengu na kule kunakotanukiwa kuna tofauti gani ?

Yani je ncha ya ulimwengu ambayo huko ndo hutanuka(kama ncha ya puto)je kuna tofauti gani na huko ambako ulimwengu hutanukia ambako there is nothing ?

Ama ulimwengu unaotanuka na huko unakotanukia kote there is nothing ?

Kwa hiyo itakuwa nothing ina expand to the nothing ....[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Duh [emoji119]
 
Kutazama kunahitaji mwanga mpaka mwanga ukufikie machoni mwako ndipo utaona hicho kitu sasa hapo ni wazi kuwa hakuna speed ya kutazama

Kutazama ni nini?
Speed ya kutazama ipo, ni speed ya light particles kuhit macho yako, hiyo signal ikasafiri kutoka kwenye macho ikaenda hadi kwenye ubongo, ubongo ukatoa tafsiri ya ule ulichokiona, hiyo ndiyo speed ya kutazama. Ndiyo maana ukiwa kwenye mfano chombo kinaenda speed sana huoni clear, jaribu kuzungusha kichwa haraka haraka uone utaona blur kwa sababu ile signal inakua bado haijafika kwenye ubongo ikatafsiriwa vizuri ushaingiza signal nyiingine.
 
elescope za NASA au SpaceX zimefanikiwa kuona maeneo mengi sana na ya many light years ndo ufike. Itakuwaje zenyewe zione hayo maeneo kwa mda mfupi wakati bado mwanga still unasafiri, na tunajua tangu uumbaji, piga ua garagaza hiyo miaka 93 Billion light years hatuna. Hapo ndipo nilipogundua kumbe Universe yetu ni ndogo sana. Au unawezekana speed of light ni kubwa zaidi ya tunavyofikiri.

MOJA: Nyota ambazo mwanga wake tunauona kwa sasa, zilishakuwepo mabiliion ya miaka kabla ya uwepo wa dunia yetu, kwa jiyo wakati dunia inaumbwa, iliumbwa ikawa iko katika katika sehemu ambayo mwanga huo ulishafika tayari na pengine ulishapitiliza tayari kwenda sehemu zingine nje ya dunia yetu

MBILI: Baadhi ya nyota hizi zinaweza zingine kuwa hazipo tena kwa sasa zilishakufa, ila mwanga wake bado tunaendelea kuuona kutokana na umbali uliojuwepo kati yake na dunia yetu

Kwa mantiki hiyo hoja yako hii haiko sahihi
 
Haha sawa mkuu there is nothing na ndio maana ulimwengu unatanukia huko.mfano puto haliwezi kutanuka ukiwa umwliweka chini ya ardhi kwa sababu nje ya puto kuna udongo.

Sasa kwa dhana ya ulimwengu kutanuka manake ili utanuke inatakiwa huko kunakotanukia kuwe hakuna kitu ili ulimwengu uwe na nafasi ya kutanuka.

Sasa hapaa je ulimwengu,mpaka wa ulimwengu na kule kunakotanukiwa kuna tofauti gani ?

Yani je ncha ya ulimwengu ambayo huko ndo hutanuka(kama ncha ya puto)je kuna tofauti gani na huko ambako ulimwengu hutanukia ambako there is nothing ?

Ama ulimwengu unaotanuka na huko unakotanukia kote there is nothing ?

Kwa hiyo itakuwa nothing ina expand to the nothing ....😊😊😊😊
Wanachosema wanasayansi kwa tafiti walizofanya ni kuwa ulimwengu hauna mipaka. Hauna mwanzo wala mwisho. Hauna hapa ndiyo katikati yake. Utanukaji wake unatanuka kwenye hali isiyokuwa na chochote.

Ulimwengu upo unatanuka kwenye hali isiyokuwa na chochote, na bado unatanukia kwenye hali hiyo hiyo isiyokuwa na chochote.
 
Back
Top Bottom