Universe ni Ndogo: No light years between Planets or Galaxies

Universe ni Ndogo: No light years between Planets or Galaxies

Hii theory ya Time Travel inamaanisha kwenda kabisa past ukayaone maisha yalivyo, mfano ukienda past ukamuua babu yako maana yake ukirudi kipindi hiki hautaexist, ukienda future vilevile utajiona ulivyo in future, ukirudi now utajua namna ya kufanya ulibadilishe future uliyoiona n.k n.k

Mpango wa Time Travel wanang'ang'ana nao kwa sababu hiyo.
Ukishaenda future ukirudi haitakuwa future tena Itakuwa ur past [emoji23]
 
Wanasema huko nje kuna Multverse yaani universe zipo nyingi halafu zimejipanga parallel. Albert Einstein aliwahi kuja na Theory moja inadai kwamba kuna Features tunaweza kuziona huku duniani lakini source yake sio huku duniani au kwenye universe yetu. Nitatoa mifano miwili.

1. Satellite za NASA zilipopita juu ya bara la Antactica ziliface high electrons zinazotokea duniani eneo lile. Lakini walipochunguza wakaona hakuna source ya electrons pale. Wakahisi huenda electrons zile zinatokea kwenye universe nyingine ambayo iko parallel na yetu.

2. Ukienda sehemu ambayo hujawahi kwenda kabisa. Lakini nafsi inakuambia kabisa hapo uliwahi kufika na unapafahamu. Theory hiyo inadai huenda wewe huyo huyo unaishi universe nyingine na umefika hilo eneo. Pia Theory inadai mtu mmoja unaweza kuishi kwenye parallel universe huku ukawa Polisi. Kule kwenye universe nyingine wewe ni Daktari, kwenye nyingine tena wewe ni Raisi wa nchi. Ila katika different parallel universes.
Hii theory kwenye movie flan "the flash" imeelezewa hii.
 
Ndo wametoa hiyo idea kwenye hii concept
Very interesting aisee..

Ndo mana naamini kwamba ukijiona upo duniani tu basi jua wewe utaishi milele.

Hata vitabu vinasema kila nafsi itaonja umauti.

Ukiskia neno kuonja maana yake kuna zaidi ya kuonja.

Hivyo kuna zaidi ya huo umauti ambao tutauonja.
 
go deep kidogo
 
Wakati huohuo nafsi tena zitaishi milele na mwili ndo utakufa, yani tunavurugwa hatari.
 
FB_IMG_16311641849582617.jpg
 
Hapa ndo naona sayansi nayo haiwezi kutupatia majibu ya maswali mengi tu.

Wale wasioamini Mungu wanasema kuna maswali hayajibiki kwa mungu.

Wakati huo huo kuna maswali wanasayansi hawawezi kuyajibu sasa hukuti wanasema hawaamini sayansi kwa kuwa kuna maswali hayajibiki katika sayansi
 
sisi kwenye hii dunia ni wagen tu pia na life span yetu ni ndogo sana
 
Nyota tunazo ziona juu nyingi zimesha kufa miaka mingi sana tulicho salia ni kuona mwanga wa nyota ambao bado upo safarini
Inawezekana upo sahihi..maana naamini kua ni nyota kubwa ndo sbb mwanga wake bado mkali..na inasemekana inazid kukua kwahvo kuna mda utafika jua nalo litakua dogo ka nyota
 
Mkuu energy kiaje
''To understand the secret of the universe, think in terms of energy, vibration and frequency'' Nikola Tekiaje

Vibration kiaje

Na frequencyy kiaje mkuu.

Napata shida kuthibk in term of those things..

Naomba msaada tafadhali
 
Back
Top Bottom