REALITY
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 4,391
- 1,963
Kwakuwa hakuna mwanga
Kwa nini huwezi kukiona kikombe kukiwa na giza?
Kwa nini huwezi kukiona kikombe kukiwa na giza?
Kwakuwa hakuna mwanga
Mwanga unao generate taswira huwa nje ya macho si ndani,macho yanapo contact na mwanga ndo process ya sight ina activateMwanga unakuwezeshaje kukiona kikombe?
Kwa nini macho yako yasijeneriti mwanga uweze kukiona kikombe gizani?
Hapa sijakuelewa kidogo, embu weka mifano na mwelezo ya ziada.Yes mkuu.
Mimi ninachoamini kuwa muda ni mambo ya watu tu.
Ila nyakati zipo,na hatuwezi kuelezea nyakati bila tukio.
Sababu macho haya jaumbwa kwa kazi hiyo, na hilo liko nje ya uwezo wa mwanadamu.Mwanga unakuwezeshaje kukiona kikombe?
Kwa nini macho yako yasijeneriti mwanga uweze kukiona kikombe gizani?
Giza hutokea pindi ambapo mwanga unatoweka, kama ilivyo kwenye ukweli uongo hutoweka.Nimekuuliza kuhusu vitu/mada/matter.
Unaelewa jinsi gani 'hali' ya giza inatokea?
Sababu macho haya jaumbwa kwa kazi hiyo, na hilo liko nje ya uwezo wa mwanadamu.
Mwanga unao generate taswira huwa nje ya macho si ndani,macho yanapo contact na mwanga ndo process ya sight ina activate
Yaani katika vitu naonaga ni uwongo mweupe ni hiyo kitu ya kuambiwa "jicho halijenereit mwanga bali mpaka mwanga from the source of light uje uakisiwe ndo jicho lione"
Sijakuelewa,kwamba unatukumbusha tujikite kwenye mada kwa maana tuko nje ya mada au hatujaelewa kilicho andikwa kwenye hii mada ?
Sijakuelewa,kwamba unatukumbusha tujikite kwenye mada kwa maana tuko nje ya mada au hatujaelewa kilicho andikwa kwenye hii mada ?
Satellite my foot...they are only underground cables acha sound mzeeUnaelewa kwamba waliokutangulia wangefikiri kama unavyofikiri wewe hivyo, leo hii usingekuwa na internet ya kuweza kuandika hiki ulichoandika huko ulikoandika, halafu mimi nikaona huku nilipo, kupitia simu yangu?
Unaelewa kwamba hesabu zilizotumika katika kujua utafiti wa mambo ya anga, zimetusaidia kurusha satellite angani na kutupa internet?
Nimeona halafu hatuelezi lina generate vipi huo mwanga. Lakini pili akili ina kataa, iweje jicho litengeneze mwanga halafu ndiyo lione, kwani jicho ni nini hasa ? Sijui kama amejiuliza hili ?We click hapo kuna mdau anaota jicho linagenerate mwanga
Sayansi inatumika sana upande wa giza tufike new world order tupigwe chip tuchomwe moto biashara iisheUnajua haya mambo yanaelezewa vizuri sana kiimani (Kwahiyo ikitokea ukayakataa maelezo ya kiimani juu ya maumbile basi ujue unaukataa ukweli wazi wazi) kuliko wafanyavyo Wanasayansi.
Mathalani suala la muda, chanzo cha ulimwengu na mengine.
Sayansi inatumika sana upande wa giza rufike new world order tupigwe chip tuchomwe moto biashara iishe
Haya huwa wanajifariji tu, ila haitakuja kutokea.Sayansi inatumika sana upande wa giza rufike new world order tupigwe chip tuchomwe moto biashara iishe
Sayansi inatumika sana upande wa giza tufike new world order tupigwe chip tuchomwe moto biashara iishe
Haya huwa wanajifariji tu, ila haitakuja kutokea.
Chip ya nini?