Universe ni Ndogo: No light years between Planets or Galaxies

Telescope za NASA au SpaceX zimefanikiwa kuona maeneo mengi sana na ya many light years ndo ufike. Itakuwaje zenyewe zione hayo maeneo kwa mda mfupi wakati bado mwanga still unasafiri, na tunajua tangu uumbaji, piga ua garagaza hiyo miaka 93 Billion light years hatuna. Hapo ndipo nilipogundua kumbe Universe yetu ni ndogo sana. Au unawezekana speed of light ni kubwa zaidi ya tunavyofikiri.
Mkuu Sidhani kama spacex wanajihusisha na mambo ya telescope.

Pia tukirudi kwenye mada hapa wewe ndio umejichanganya.

Hizo 93 billion light years ndio muda uliotumika huo mwanga kusafiri mpaka kufika hapa.
Means huo mwanga hizo telescope zinaona sasa hivi una 93 billion light years.
Hence hiyo inaprove universe ni kubwa kupita kiwango ambacho ni kwa asilimia kubwa ni impossible kwa watu wengi kuweza imagine.

1. Kama universe yetu ni ndogo basi hatutaweza kwenda future au past
Time travel hauhusiani na ukubwa wa universe wala udogo wake.

Time travel ni kitendo cha kutravel ndani ya vipindi fulani tofauti ndani ya muda.
Hivyo universe haihusiki kivyovyote.

Ndani ya 3D space kwa asilimia kubwa ni impossible kufanya time travel ila itawezekana only kama theory ya multiverse ni possible au ni kweli.
Or kama itawezekana kupata access ya higher dimensions maybe ndani ya 5dimension utaweza kufanya time travel sababu utakuwa uko nje ya 3d space na fourth dimension ambayo ni Time or space-time kwa pamoja hence utaweza kutravel through different points in time.

So hiyo inamaanisha time travel haina uhusiano wowote na ukubwa au udogo wa universe.
 
Ngoja nikuulize maswali yafuatayo.

1. Kama SpaceX hawajihusishi na Telescope vipi wanawezaje kupanga mikakati kama ya ku colonize sayari ya Mars ifikapo 2050, wanatumia kifaa gani na gani kuona hiyo sayari ya Mars?

2. Umedai kwamba hiyo 93 Billion Light years ni mwanga umesafiri kwa muda wa miaka Billion 93 ndo Telescope zikauona baada ya miaka Billion 93. Je huo mwanga ni mwanga wa kitu gani? Na Telescope hizo zimetumia mechanism gani kutambua mwanga huo umetumia miaka Billion 93 kama unavyodai?
 
Mkuu Sidhani kama spacex wanajihusisha na mambo ya telescope.

Pia tukirudi kwenye mada hapa wewe ndio umejichanganya.

Hizo 93 billion light years ndio muda uliotumika huo mwanga kusafiri mpaka kufika hapa.
Means huo mwanga hizo telescope zinaona sasa hivi una 93 billion light years.
Hence hiyo inaprove universe ni kubwa kupita kiwango ambacho ni kwa asilimia kubwa ni impossible kwa watu wengi kuweza imagine.

Time travel hauhusiani na ukubwa wa universe wala udogo wake.

Time travel ni kitendo cha kutravel ndani ya vipindi fulani tofauti ndani ya muda.
Hivyo universe haihusiki kivyovyote.

Ndani ya 3D space kwa asilimia kubwa ni impossible kufanya time travel ila itawezekana only kama theory ya multiverse ni possible au ni kweli.
Or kama itawezekana kupata access ya higher dimensions maybe ndani ya 5dimension utaweza kufanya time travel sababu utakuwa uko nje ya 3d space na fourth dimension ambayo ni Time or space-time kwa pamoja hence utaweza kutravel through different points in time.

So hiyo inamaanisha time travel haina uhusiano wowote na ukubwa au udogo wa universe.
3. Ni kwa sababu zipi Universe haihusiki kabisa na Time Travel? Ni sababu zipi ukubwa au udogo wa Universe hauhusiki na Time Travel. Je unadhani Universe ingekuwa ndogo zaidi, kama ulivyodai mwanga ulisafiri miaka Billion 93, Je bado mwanga ungesafiri kwa miaka hiyo?
 
Kama SpaceX hawajihusishi na Telescope vipi wanawezaje kupanga mikakati kama ya ku colonize sayari ya Mars ifikapo 2050, wanatumia kifaa gani na gani kuona hiyo sayari ya Mars?
Spacex wana mahusiano na NASA hivyo bila shaka watakuwa wanatumia probes na satellite za NASA.

Na sidhani kama kwa sasa spacex wanamiliki au kujihusisha na mambo ya telescope.
Umedai kwamba hiyo 93 Billion Light years ni mwanga umesafiri kwa muda wa miaka Billion 93 ndo Telescope zikauona baada ya miaka Billion 93. Je huo mwanga ni mwanga wa kitu gani? Na Telescope hizo zimetumia mechanism gani kutambua mwanga huo umetumia miaka Billion 93 kama unavyodai?
Kwani pale ulipoandika mwanga ulimaanisha mwanga wa kitu gani?
Planets, nebulas, red giants, stars, galaxies au black holes?
Mwanga wa chochote kile ulioonekana kwenye telescope ndio huo.

Na hapo sijadai bali hiyo ni fact iliyokuwa proved na waliofanya utafiti maybe kama una una majibu yako mwenyewe.

Kuhusu telescope imetumia mechanism gani mimi sijui hayo ni mambo ya waliotengeneza hiyo telescope.
 
Ni kwa sababu zipi Universe haihusiki kabisa na Time Travel? Ni sababu zipi ukubwa au udogo wa Universe hauhusiki na Time Travel.
Jibu ni hili mkuu.

Ndani ya 3D space kwa asilimia kubwa ni impossible kufanya time travel ila itawezekana only kama theory ya multiverse ni possible au ni kweli.
Or kama itawezekana kupata access ya higher dimensions maybe ndani ya 5dimension utaweza kufanya time travel sababu utakuwa uko nje ya 3d space na fourth dimension ambayo ni Time or space-time kwa pamoja hence utaweza kutravel through different points in time.

So hiyo inamaanisha time travel haina uhusiano wowote na ukubwa au udogo wa universe.

Swali kwako ni how ukubwa au udogo wa universe unahusika na time travel?
Je unadhani Universe ingekuwa ndogo zaidi, kama ulivyodai mwanga ulisafiri miaka Billion 93, Je bado mwanga ungesafiri kwa miaka hiyo?
Sijaelewa hili swali maybe uliza tena.
 
Spacex wana mahusiano na NASA hivyo bila shaka watakuwa wanatumia probes na satellite za NASA.

Na sidhani kama kwa sasa spacex wanamiliki au kujihusisha na mambo ya telescope.

Kwani pale ulipoandika mwanga ulimaanisha mwanga wa kitu gani?
Planets, nebulas, red giants, stars, galaxies au black holes?
Mwanga wa chochote kile ulioonekana kwenye telescope ndio huo.

Na hapo sijadai bali hiyo ni fact iliyokuwa proved na waliofanya utafiti maybe kama una una majibu yako mwenyewe.

Kuhusu telescope imetumia mechanism gani mimi sijui hayo ni mambo ya waliotengeneza hiyo telescope.
Mkuu umejichanganya hapo kwenye Satellite, Satellite inazunguka dunia kwa ajili ya mawasiliano, atleast ungesema radar maana radar inatuma signal(scanning signal) kwa ajili ya kutafuta object then inakuja na image ya ilivyoviona, also inatuma pia signal(tracking signal) kwa ajili ya kudetermine umbali, speed n.k n.k wa hizo object ilizoziona.

Telescope kazi yake ni ku observe long distant object in presence of light na haina mechanism yeyote ya kudetermine muda uliotumika.

Tunaposema 93 Billion Light years tunamaanisha usafiri kwa chombo kinachotumia speed ya mwanga 300000000m/s kwa muda wa miaka 93 billions, huo umbali utakao tumia ndo ukubwa wa Universe.
 
yeah uko sahihi ila nilimaanisha space telescope like hubble.
that's why nikasema satellite.
 
Sorry what is universe in its real meaning... What's the different between galaxy, world and earth

Jr[emoji769]
Dah !!! Yaan ujanja bado unachemka kwa maswal km hayo kwel hakuna anaejua kila kitu universe kiswahili ulimwengu sayar galaxy zote zimo umo ila world and earth ni dunia tu ambapo ndan yke kuna jamaa kiboko ya wachaw
 
Sidhani kama tutaifikia hiyo level ya kwenda future au past kiuhalisia.
Hivi mkisema kuna past na future kuhusu ulimwengu mnaamanisha matukio yanayatokea ulimwenguni au?.....Kwamba unaweza kwenda sijui nyuma ya muda au mbele ya muda, mbona kila kitu naona kipo vile vile zaidi tu ni cycles ya majira na tunatumia time kama kipimo cha haya majira

Eti ukitembea speed ya light unaweza rudi miaka ya nyuma, kwamba miaka ni pahala flani hivi, hebu acheni kutuchanganya
 
Hivyo hivyo ulivyoielewa.
 
Nini faida za moja kwa moja tunazozipata kutokana na kugundua mambo ya kwenye sayari nyingine?
Kwanini mataifa makubwa yana invest million dollars kwenye tafiti hizo?
Hapa ndipo penye tafakuri ya msingi...

Kimsingi ni kwamba mambo haya hayana faida "kwetu" sisi kama Waafrika lakini kwa hao majamaa wana "faida" kwenye haya mambo...

Hata hii technology, haipo kwaajili ya kutengeneza simu au magari,ina kazi maalum sana ambayo wengi hatuijuwi...

Acha tuendelee kufikiri mkuu....
 
Nieleweshe mkuu
Hii theory ya Time Travel inamaanisha kwenda kabisa past ukayaone maisha yalivyo, mfano ukienda past ukamuua babu yako maana yake ukirudi kipindi hiki hautaexist, ukienda future vilevile utajiona ulivyo in future, ukirudi now utajua namna ya kufanya ulibadilishe future uliyoiona n.k n.k

Mpango wa Time Travel wanang'ang'ana nao kwa sababu hiyo.
 
Hapa ndipo penye tafakuri ya msingi...

Kimsingi ni kwamba mambo haya hayana faida "kwetu" sisi kama Waafrika lakini kwa hao majamaa wana "faida" kwenye haya mambo...

Hata hii technology, haipo kwaajili ya kutengeneza simu au magari,ina kazi maalum sana ambayo wengi hatuijuwi...

Acha tuendelee kufikiri mkuu....
Kuhusu sayari zingine, maisha yataendelea, kwa imani yangu ya kikristo, kuna kipindi dunia itakunjwa kama karatasi na kutupwa Jehanam. Sayari zingine zitaendelea kuwepo na maisha yataendelea.

Sasa sijui kwanini wanafuatilia sana sayari zingine sijajua ni kwa sababu wamegundua haya au kuna mengine.
 
Mimi nimesema hivi kwamba kisichokuwa kitu hakiwezi kutengeneza kitu.

Mimi sijasema hivyo rejea nilichosema.

Mimi nasema kuwa kisichokuwa kitu hakiwezi kuunda kitu ndo maana ya msemo wangu.

Baada ya kukufahamisha hivi sasa uliza suala lako

Kuhusu Mungu katokea wapi sijui kwa sababu hajasema mwenyewe kwenye kitabu chake ninachokiamini bali kasema yeye ndio wa mwanso na ndio wa mwisho.
The same can be said to the big bang kwamba ndo mwanzo.
 
Mkuu umejichanganya hapo kwenye Satellite, Satellite inazunguka dunia kwa ajili ya mawasiliano, atleast ungesema radar maana radar inatuma signal(scanning signal) kwa ajili ya kutafuta object then inakuja na image ya ilivyoviona, also inatuma pia signal(tracking signal) kwa ajili ya kudetermine umbali, speed n.k n.k wa hizo object ilizoziona.

Telescope kazi yake ni ku observe long distant object in presence of light na haina mechanism yeyote ya kudetermine muda uliotumika.

Tunaposema 93 Billion Light years tunamaanisha usafiri kwa chombo kinachotumia speed ya mwanga 300000000m/s kwa muda wa miaka 93 billions, huo umbali utakao tumia ndo ukubwa wa Universe.
Sio kila satellite ni for communication Mkuu.

Kuna navigational satellites kama GPS,GLONASS NA BEIDOU.

Kuna remote sensing satellites zinazopima temperature, humidity, kupima topography, salinity,gravimetry Na uchafu mwengine
 
Back
Top Bottom