plan z
JF-Expert Member
- Jun 10, 2019
- 1,395
- 1,439
- Thread starter
- #361
Ipo hivi, kila universe inatabia zake na mifumo yake, kama unaverse yetu inatanuka haitanuki ndani ya nyingine. Kwa mfano ili ufanikiwe katika universe yetu kuna kanuni (secrets) lazima uzifahamu, tofauti kabisa na kama tupo another universe.Basi kama ni hivyo maana yake universe inatanukia kwenye universe nyingine kwa sababu zipo nyingi au sio ?
Na inawezekana sisi pia tunaishi katika universe zaidi ya moja ila no connection kati yako na wewe mwingine in another universe isipokuwa ukipita eneo ambalo liko parallel na universe nyingine, distance between two universes inakuwa ndogo, unaanza kupata connection ya nini kinaendelea kwenye another universe, ndo maana unakuta unaenda sehemu ambayo ni mara yako ya kwanza kabisa kufika lakini unajihisi kama unapajua na ramani ya eneo hilo unaiona kabisa kwenye ubongo wako. Pia katika situation hii unaweza ukapata maarifa ya new technology kutoka kwenye another universe.
Ndo maana nikasema katika bara la Antactica, scientist walikuta electrons za kutosha ila wakichunguza source ya hizo electrons zilipotokea hamna, ndipo wakagundua maybe source ya electrons hizo ipo kwenye another universe eneo ambalo liko parallel kwa upande huo.