Atakayekaza hapa, anapiga fresh tu, hahaWivu tu sababu nimemtunzia baba chanja tunda😂😂😂😂
Chumvi ya mawe ni uwongo,kumbuka mikosi na mizimu ni roho.Mzee hiyo hali ni Mungu mwenyewe akuondolee na kuwa na jitihada za dhati mwenyewe kuna baadhi ya wanaume tuna high level of testosterone hormones. Yaan kwa siku unaweza kuzagamua hata wanawake wawili na hamu isikuuishe.
Unaweza kuwa na mke mzuri tu ndani lakini wapi?
Hiyo hali hata mie inanikutaga mpaka nikahisi nitabeba mikosi.
Ila huwa najitakasa na chumvi ya mawe kwa kuondosha nuksi kama wanavyosema wadau humu.
Sijui kwanini umemchukulia kwamba mtoa mada bado ana shida ya chakula nyumbani? HahaKama we ni mtu WA mazoezi vizuri huwezi waza sex muda ote as muda mwingi mwili umechoka.Afu kumbuka kila kitu kiananzia kichwani mzee control your thoughts . Remember sex will never bring you food on the table.
Hivi puchu, punyero, mgalala ni aina gani ya mapenzi nafikiri nayo ni kundi la mapenzi ya jinsia moja 🥶Na bila shaka unapiga sana punyeto
Mzeya mtaani kwenu wacheza namba ngapi?Wakuu,
Mimi siwezi kukaa ndani ya siku saba na nisifanye mapenzi, hali hii huwa inanishinda,
Mimi ni mtu wa mazoezi,mchezaji wa mpira mtaani kwetu,na napenda sana kusikiliza muziki,kurelax na marafiki,lakini punde tu nikiachana nao basi tayari hamu ya kusex inanijia
Sijaoa ila hali hii ikinijia huwa naenda kwa madada poa namaliza hamu zangu na kurudi nyumbani
Licha ya hivyo,hali hii huwa siifurahii na huwa nataka sana niiache lakini huwa nashindwa
Wakuu,nifanye nini niondokane na hali hii?
Cc
Mallerina
Binti Sayuni03
SweetyCandy
Nomadix
Haaah mkuu sorry I didn't mean huna food mzee.Asa ungepata wapi nguvu za kuchati😄Sijui kwanini umemchukulia kwamba mtoa mada bado ana shida ya chakula nyumbani? Haha
Inawezekana!Hivi kuna mtu anaweza kuwa ba 30 years hana demu au mpenzi? Yaani yupoyupo tu?
Nasikia inasafisha@mshana.Chumvi ya mawe ni uwongo,kumbuka mikosi na mizimu ni roho.
Hiyo uhakika kuna kuachwa mamb ni mengi.Inawezekana!
Hata Co kuachwa, pia wengine wanakua hawajawahi kuwa ktk mahusiano be4, wako focused na mambo mengine tyuuhHiyo uhakika kuna kuachwa mamb ni mengi.
Pesa haiwezi kufanya u behave ka kenge mzeepesa madafu mkuu.
Sisi wanawake tunaweza sema tuu tume-mute.... Visukari, Presha, Tezi-dume, nguvu za kiume sifuri zinatuathiri sana sana kisaikolojia😭🤣Wakuu,