Unawezaje kukaa bila kufanya mapenzi kwa muda mrefu?

Unawezaje kukaa bila kufanya mapenzi kwa muda mrefu?

Wakuu,
Mimi siwezi kukaa ndani ya siku saba na nisifanye mapenzi, hali hii huwa inanishinda,

Mimi ni mtu wa mazoezi,mchezaji wa mpira mtaani kwetu,na napenda sana kusikiliza muziki,kurelax na marafiki,lakini punde tu nikiachana nao basi tayari hamu ya kusex inanijia

Sijaoa ila hali hii ikinijia huwa naenda kwa madada poa namaliza hamu zangu na kurudi nyumbani

Licha ya hivyo,hali hii huwa siifurahii na huwa nataka sana niiache lakini huwa nashindwa

Wakuu,nifanye nini niondokane na hali hii?
Cc
Mallerina
Binti Sayuni03
SweetyCandy
Nomadix
solution ni kukaa sehemu za joto,nipo mkoa fulani ,tarafa fulani kuna joto balaa ata hamu ya kutombana hauwezi pata tofauti na nilipokuwa kwenye tarafa yenye baridi
 
Kikubwa ninachokiona kwako uwepo wa madada poa pia unauendekeza. Enzi zetu wakati wa harakati unaweza kumsarandia demu ukamkosa hivyo unarudi ghetto kulala...ama demu alikuwa anaweza kuja asikupe...hivyo hali hizo zinakutengenezea resilience. Sasa wewe unajicheck mfukoni una buku 10 au 20 na pengine unapoishi upo karibu nao hivyo inakulazimu kuwafuata ili kutimiza kiu yako na hali hiyo umeishafanya kama mazoea na akili imekubaliana na hali hiyo.

Madhara yake utakuwa huangaiki na mademu na hata ukihangaika nao wakizingua (ni kawaida ya wanawake kuwazungusha wanaume ili kuona useriousness wetu) utakuwa huweki effort kwa kuwa una options. Hali hiyo pia inaweza kukufanya usiwe na hisia toshelevu.

Kama ujuavyo mapenzi ni hisia na hakuna raha kama kuwa na hisia na mwanamke unaweza kumpa hii dunia.

Embu icheki movie ya Napoleon Bonaparte uone namna General Napoleon alivyompenda Josephine.
 
Mimi nina uwezo wa ajabu, ninaweza kukaa hadi miaka 100 hata 1000 baada ya wanawake wote kupotea duniani
 
solution ni kukaa sehemu za joto,nipo mkoa fulani ,tarafa fulani kuna joto balaa ata hamu ya kutombana hauwezi pata tofauti na nilipokuwa kwenye tarafa yenye baridi
Kwenye joto kweli alaf pia wanawake wasiwe wanapatikana kirahisi kama dar😂
 
Wakuu,
Mimi siwezi kukaa ndani ya siku saba na nisifanye mapenzi, hali hii huwa inanishinda,

Mimi ni mtu wa mazoezi,mchezaji wa mpira mtaani kwetu,na napenda sana kusikiliza muziki,kurelax na marafiki,lakini punde tu nikiachana nao basi tayari hamu ya kusex inanijia

Sijaoa ila hali hii ikinijia huwa naenda kwa madada poa namaliza hamu zangu na kurudi nyumbani

Licha ya hivyo,hali hii huwa siifurahii na huwa nataka sana niiache lakini huwa nashindwa

Wakuu,nifanye nini niondokane na hali hii?
Cc
Mallerina
Binti Sayuni03
SweetyCandy
Nomadix
Ni moja ya vijana wa hovyo
 
😀true uku nipo bush hakuna maisha kama ya mjini,uku hakuna uhuni wa mijini ukileta izo tabia unaonekana wa ajabu yaani ata kulewa tu kwao ni big issue unajadiliwa na ushauri unapewa
Niliwahi kuishi maisha hayo ya kijijini nlikaa mwezi mzima bila ya kugonga alaf joto tafrani time tu ilikuwa😂😂
 
Back
Top Bottom