Upi ni muda mrefu uliokaa bila kufanya mapenzi?

kiss ov love

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2025
Posts
9,388
Reaction score
16,176
Tangu niyafahamu mapenzi sijawahi kukaa mda mrefu namna hii bila kushiriki, mpaka sasa ni miezi miwili sasa nimejikuta tu nimeshazoea nadhani naweza kumaliza hata mwaka.

Kwako mdau upi ni muda mrefu zaidi uliowahi kukaa bila kufanya mapenzi?
 
1000164067.jpg
 
Miaka sita bila kufanya. Ilikuwa powa tu tena nikawa mwenye amani sana na furaha mda wote... Nilipo anza fanya amani na furaha vikatoweka
 
Inasikitisha... sana¡
 
Miaka sita bila kufanya. Ilikuwa powa tu tena nikawa mwenye amani sana na furaha mda wote... Nilipo anza fanya amani na furaha vikatoweka
Miaka sita ni mingi sana, ungeacha tu moja kwa moja😂
 
  • Kicheko
Reactions: Oho
Back
Top Bottom