Unawezaje kukaa bila kufanya mapenzi kwa muda mrefu?

Unawezaje kukaa bila kufanya mapenzi kwa muda mrefu?

9516170af5ca6b17b9a69047a7e1c804.jpg
 
Inategemeana na hali ya mfuko.

Yani niwe na ka elfu 50 kalikokosa kazi halafu nikumbatie kende kweli, yani nilalale na manii korodanini??

Ninachokipata nagawana na wenzangu. Wananipa utelezi, nawapa ruzuku.

Kujibu swali lako, siwezi toboa siku tatu bila kuchomeka kojoleo langu kwenye kojolea la kabinti kamtu.
 
Kama we ni mtu WA mazoezi vizuri huwezi waza sex muda ote as muda mwingi mwili umechoka.Afu kumbuka kila kitu kiananzia kichwani mzee control your thoughts . Remember sex will never bring you food on the table.
Stoic philosophy ukiisoma hii mapenzi hayakusumbui
 
Watafute watawa wakupe mbinu, mbona wao wanaweza?
Mhh achana na hao watu kuna mapadri wamezaa na wana watoto kisiri siri, masista ndo usiseme wengine hadi wanasagana...kuna mtu anafanya kaz sehem wanazokaa ndo alinipa story zao hao watu ni hatar nahs kanisa katolik liwaruhusu kuoa na kuolewa tu
 
Una umri gani!??

Sasa dada poa anakutoaje GENYE, unaenda kukojoa, GENYE haitolewi kwa kukojoa tu, GENYE ni lazima ufanye Mapenzi.
 
Uwe unapaka Tanga wizi sehemu Za siri hakika genye hutozisikia😁
 
Mhh achana na hao watu kuna mapadri wamezaa na wana watoto kisiri siri, masista ndo usiseme wengine hadi wanasagana...kuna mtu anafanya kaz sehem wanazokaa ndo alinipa story zao hao watu ni hatar nahs kanisa katolik liwaruhusu kuoa na kuolewa tu
Sasa wewe unaamini story? ,, lakini kikawaida kwa sisi wanaume usipofanya mapenzi nilazima zitatoka tu hakuna namna utaa ili zisitoke
 
Back
Top Bottom