Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 20,356
- 62,374
Naomba nimsaidie tuwe tunafanya kisirisiri maana hata yeye huko lazima katafuta demuMwezi wa 4 huu, hizi kazi hizi ..
Mume wangu nammiss jamani
😭
Nipo njiani kwenda kwake, hapa nataka nipae ili nitue kwa bed