Unawezaje kukaa bila kufanya mapenzi kwa muda mrefu?

Holoholo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
8,702
Reaction score
19,590
Wakuu,
Mimi siwezi kukaa ndani ya siku saba na nisifanye mapenzi, hali hii huwa inanishinda,

Mimi ni mtu wa mazoezi,mchezaji wa mpira mtaani kwetu,na napenda sana kusikiliza muziki,kurelax na marafiki,lakini punde tu nikiachana nao basi tayari hamu ya kusex inanijia

Sijaoa ila hali hii ikinijia huwa naenda kwa madada poa namaliza hamu zangu na kurudi nyumbani

Licha ya hivyo,hali hii huwa siifurahii na huwa nataka sana niiache lakini huwa nashindwa

Wakuu,nifanye nini niondokane na hali hii?
Cc
Mallerina
Binti Sayuni03
SweetyCandy
Nomadix
 
fanya mazoezi ya viungo vya mwili bara-bara gentleman 🐒
 
Wakuu,
Mimi siwezi kukaa ndani ya siku saba na nisifanye mapenzi, hali hii huwa inanishinda,

Mimi ni mtu wa mazoezi,mchezaji wa mpira mtaani kwetu,na napenda sana kusikiliza muziki,kurelax na marafiki,lakini punde tu nikiachana nao basi tayari hamu ya kusex inanijia

Sijaoa ila hali hii ikinijia huwa naenda kwa madada poa namaliza hamu zangu na kurudi nyumbani

Licha ya hivyo,hali hii huwa siifurahii na huwa nataka sana niiache lakini huwa nashindwa

Wakuu,nifanye nini niondokane na hali hii?
Kwani ukijisikia hamu ya kufanya mapenzi halafu usifanye kwani mwili utapasuka?

Jifunze tu kucontrol akili yako dhidi ya matendo.

Kila ukijisikia hamu piga push ups mia tuone kama mwili utaizidi akili akili. 😄
 
Wakuu,
Mimi siwezi kukaa ndani ya siku saba na nisifanye mapenzi, hali hii huwa inanishinda,

Mimi ni mtu wa mazoezi,mchezaji wa mpira mtaani kwetu,na napenda sana kusikiliza muziki,kurelax na marafiki,lakini punde tu nikiachana nao basi tayari hamu ya kusex inanijia

Sijaoa ila hali hii ikinijia huwa naenda kwa madada poa namaliza hamu zangu na kurudi nyumbani

Licha ya hivyo,hali hii huwa siifurahii na huwa nataka sana niiache lakini huwa nashindwa

Wakuu,nifanye nini niondokane na hali hii?
Unakuwaje jasiri wa kuwaza mapenzi ilihali kiuhalisia wewe ni Apeche Alolo "pangu pakavu kiuchumi"?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Wakuu,
Mimi siwezi kukaa ndani ya siku saba na nisifanye mapenzi, hali hii huwa inanishinda,

Mimi ni mtu wa mazoezi,mchezaji wa mpira mtaani kwetu,na napenda sana kusikiliza muziki,kurelax na marafiki,lakini punde tu nikiachana nao basi tayari hamu ya kusex inanijia

Sijaoa ila hali hii ikinijia huwa naenda kwa madada poa namaliza hamu zangu na kurudi nyumbani

Licha ya hivyo,hali hii huwa siifurahii na huwa nataka sana niiache lakini huwa nashindwa

Wakuu,nifanye nini niondokane na hali hii?
Mindset na mazingira, ukiweza control hayo, unaeeza usi notice hata kama umekaa muda mrefu
 
Back
Top Bottom