Tupo katika nchi ambayo Wakristo ni zaidi ya 70%. Hili linaweza pia kuonekana katika baadhi ya makundi makubwa ya kikabila nchini, ambayo kwa kiasi kikubwa yana Wakristo, wakiwemo Wasukuma, Wanyamwezi, Wachagga, Wahaya, Wagogo, Waha, Wanyakyusa, Wahehe, Wakurya, Wabena, Wafipa, Wangoni na...
asilimia
hata
hizi
huzuni
ila
katika
kushiriki
kuvumilia
kwenda
marekebisho
maswali
mpya
mwelekeo
nchi
shaka
sifa
suala
teuzi
udini
upendo
usawa
uwakilishi
uwiano
waislam
waislamu
wakristo
wananchi
wengi
wote
zaidi ya
Wiki hii imeanza kwa wafuasia wa Lissu na Heche kumshambulia vikali mwasisi wa CHADEMA mheshimiwa Freeman Aikael Mbowe baada ya yeye kuhudhuria sherehe za uzinduzi wa bwawa la umeme la Nyerere. Kiukweli Mbowe kadhalilishwa sana kwa siku kadhaa. Ninampongeza kwa ukimya wake kuonyesha ukomavu wa...
Tafadhali wafundisheni watoto wenu wa kiume kwamba kuwa mwanaume mwema haimaanishi kuwa mtu wa kuvumilia dharau, misukosuko ya kihisia, udanganyifu wa kisaikolojia, au machafuko ya mara kwa mara kutoka kwa watu ambao hawajajifunza kuwaheshimu wengine kwa utu wa msingi.
Wavulana wengi hukua...
“Tuna Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anayeelewa umuhimu wa sekta binafsi”
Msomi na mchambuzi wa sera za kiuchumi, Aurelia Kamuzora amesema changamoto ya upotevu wa maji na uchakavu wa miundombinu nchini inaweza kupungua kwa kiwango kikubwa iwapo sekta binafsi itapewa nafasi kubwa zaidi katika...
Baada ya kusikiliza hotuba za Goodbles Lema na Boniface Jacob walizozitoa mkoani Arusha kwenye mkutano mmoja wa hadhara hivi karibuni, napata mashaka kama watawala wataweza vumillia spana wanazopigwa na hawa makamanda.
Ninachokiona ni CCM na serikali yake kushindwa kuvumilia na kujibu hoja za...
Je, ndoa uliyoingia ukiwa na matumaini ya furaha na amani, ndiyo unayoishi leo?
Au imekuwa safari ya kuvumilia tu kwa ajili ya watoto, heshima ya jamii, au kuonekana kuwa na ndoa rasmi?
Fikiria mtoto wako, damu yako ameptwa na tatizo la kiafya. Matibabu yake ni shilingi laki 8, lakini huna pesa. Unashuhudia kila pumzi yake ikijaa uchungu, bila kuwa na uwezo wa kumsaidia, ni huzuni ambayo inavunja moyo kwa kiwango kisichoweza kuelezeka.
Fikiria familia yako, wakiketi mezani...
GTs,
Nimpongeze kwa dhati kabisa toka Moyoni Dkt Nchimbi kwa uvumilivu wake. Hakika huo moyo Dkt Mpango hana kabisa. Ila pia pole sana kwa wananzuoni kutoka Chuo Kikuu Mzumbe na IDM, maana ndiyo Chuo kimetoa rais wa kwanza ila ndiyo hivyo haelewi kabisa kinachoendelea na vilio vinavyoendelea...
Charlie Kirk ni nani?
Charlie Kirk (alizaliwa tarehe 14 Oktoba 1993 – alifariki tarehe 10 Septemba 2025) alikuwa mwanaharakati wa kisiasa kutoka Marekani, mwandishi, na mtangazaji wa vyombo vya habari vya kihafidhina (conservative).
Alianzisha shirika la Turning Point USA mwaka 2012...
Huko kwenye mtandao wa X, Wakenya wamekuja juu na lugha kali ambazo nahakika watawala walikuwa hawajazizoea na sidhani kama wanaweza kuvumilia kusoma yanayoandikwa juu yao.
Kwa kifupi, kama kuna watu huwa wanasema watanzania huwa wanaandika lugha chafu mitandaoni, basi wakajifunze kwa Wakenya...
Wakuu,
Mimi siwezi kukaa ndani ya siku saba na nisifanye mapenzi, hali hii huwa inanishinda,
Mimi ni mtu wa mazoezi,mchezaji wa mpira mtaani kwetu,na napenda sana kusikiliza muziki,kurelax na marafiki,lakini punde tu nikiachana nao basi tayari hamu ya kusex inanijia
Sijaoa ila hali hii...
Man, listen up! This thing is getting outta hand now! Hii nchi yetu Tanzania, nchi ya amani, nchi ya watu wastaarabu — imegeuka kuwa uwanja wa political games and dirty power struggles! Na siyo hapa tu, Afrika nzima viongozi wamekuwa slaves wa tamaa ya madaraka! Wanakula, wananywa, wanaiba, na...
Hellow
Nilimuonaga mdada mmoja huko kwenye mahangaiko kwenye kasemina fulani ila tupo nae sehemu ila sasa ni mgumu balaa yapata mwaka sasa tangu numtongeze ila jibu sipewe nazungushwa na nina mpenda sana kibaya zaidi anataka mimi nisolve changamoto zake ila mimi jibu hanipi kabisa
Nimewekeza...
kwenye Maisha kutokua na sababu ya kuishi kunaua zaidi kuliko njaa na magonjwa, mtu asie na sababu ya kuishi ni rahisi kukata tamaa, kuishi bila kujijali, kuwaza sana starehe, n.k.
Sababu ya kuishi kwa kuogopa kifo ni kwa kila kiumbe, hata panya akibanwa kwenye kona hupata ujasiri wa ajabu wa...
Japo kuwa wanasema ndoa ni kuvumiliana je unaweza kuvumilia na ili
Kuna Tabia ambayo mke wangu anayo ya kutaka kunimiki kisa sex nakunipelekesha kwa kutumia njia ya sex
Nikiomba sex kwake kwa akili yake yeye ndo anaona amepata avantage ya kunitumisha na kunimiliki utasikia nifanyie ivi nenda...
Kiasili kila mwanamke anahitaji vitu 4 kwa wakati mmoja. Akikosa kimojawapo , atakitafuta nje.
Sababu moja wapo kati ya hizi, inamfanya mwanamke kuchepuka:-
1. Financial support (Mpe Pesa na matunzo)
2. Good sex (alidhike kitandani)
3. Attention (simu za mara kwa mara kumjulia hari, msifie...
Intro:
Bila salamu.
Literature Review:
Ni kwamba ni ngumu sana kwa mwanaume kumpata mwanamke mvumilivu wa kila hali, hapa nieleweke ninaposema kila hali hususani hali ngumu za maisha yaan ukata, hali ya kutokuwa na kitu mfukoni, umepigwa ukapigika, umepigwa ukapauka ukafubaa, hali ya kukimbiwa...
Soma Uchambuzi Mfupi na Madini ya Chambuzi lenye Ufahamu na Mpira kwa Mapana yake.
Achana na hao kila siku wao hawachambui kazi kuuliza Ali kamwe yupo wapi?
Mara Ubaya Ubwela imeliwa.
Mara Simba Mchumba.
Nini Maoni yako Somaji?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.