Unawezaje kukaa bila kufanya mapenzi kwa muda mrefu?

Kama we ni mtu WA mazoezi vizuri huwezi waza sex muda ote as muda mwingi mwili umechoka.Afu kumbuka kila kitu kiananzia kichwani mzee control your thoughts . Remember sex will never bring you food on the table.
 
Wakuu,
Mimi siwezi kukaa ndani ya siku saba na nisifanye mapenzi, hali hii huwa inanishinda,

Mimi ni mtu wa mazoezi,mchezaji wa mpira mtaani kwetu,na napenda sana kusikiliza muziki,kurelax na marafiki,lakini punde tu nikiachana nao basi tayari hamu ya kusex inanijia

Sijaoa ila hali hii ikinijia huwa naenda kwa madada poa namaliza hamu zangu na kurudi nyumbani

Licha ya hivyo,hali hii huwa siifurahii na huwa nataka sana niiache lakini huwa nashindwa

Wakuu,nifanye nini niondokane na hali hii?
Cc
Mallerina
Binti Sayuni03
SweetyCandy
Nomadix
Huyo nomadix nae ni mwanamke au😳😳
 
mm nilikaa kama miaka 2 cijasex hapo nina miaka 20
 
Ukiona huwezi ku control mwili wako kufanya kile unachotaka wewe basi 🤣
 
Wakuu,
Mimi siwezi kukaa ndani ya siku saba na nisifanye mapenzi, hali hii huwa inanishinda,

Mimi ni mtu wa mazoezi,mchezaji wa mpira mtaani kwetu,na napenda sana kusikiliza muziki,kurelax na marafiki,lakini punde tu nikiachana nao basi tayari hamu ya kusex inanijia

Sijaoa ila hali hii ikinijia huwa naenda kwa madada poa namaliza hamu zangu na kurudi nyumbani

Licha ya hivyo,hali hii huwa siifurahii na huwa nataka sana niiache lakini huwa nashindwa

Wakuu,nifanye nini niondokane na hali hii?
Cc
Mallerina
Binti Sayuni03
SweetyCandy
Nomadix
Sema tu ukweli wewe ni mpiga punyeto mbobevu.
 
😂😂mkuu nenda Tanganyika Pakers uatapata uponyaji wa haraka kupitia mafuta na maji ya mwampopo
 
Back
Top Bottom