Unalijua eneo la siri zaidi duniani Area 51?

Unalijua eneo la siri zaidi duniani Area 51?

Bora wewe umeelewa! Bila hao jamaa leo kusingekuwa na hata gari! Enzi za manabii walipanda punda na ni watu wa imani . Leo binadamu wanajenga kituo angani! Na hawana imani za manabii. Wanashirikiana na alien. Tatizo hapa watu wanaangalia picha za kuchora za alien na kubisha. Picha sio sahihi ila alien wapo!

.....well said !!!


alien-obama.jpg
 
Hiyo picha haihitaji hata degree kutambua ni photoshop..hcho kivuli cha tank yamafuta kimeelekea kwengine na kivuli cha hilo sijui rover kimeelekea kwengine na huyo jamaa anaejaza mafuta hana kivuli au ndio Reptilians mwenyewe?😛

Asante upo vizuri broh.sasa hapo sijui nako watabisha maana wabongo bwana hatari.
 
Hiyo picha haihitaji hata degree kutambua ni photoshop..hcho kivuli cha tank yamafuta kimeelekea kwengine na kivuli cha hilo sijui rover kimeelekea kwengine na huyo jamaa anaejaza mafuta hana kivuli au ndio Reptilians mwenyewe?😛

Cha ajabu zaidi, rangi ya eneo lote mpaka huyo mtu ni "black and white" lakini pump ya mafuta ni "colored".

Jamani, Area 51 hakuna aliens, ni eneo maalum la wamarekani kwa ajili ya kuhadaa ulimwengu kuhusu sayansi/ ugunduzi.
 
Hao smartest people ndio alien! Ndio maana ni wachache, wako miongoni binadamu. Pia wanapatika maeneo maalum. Achana na picha za kuchora za alien!

Umesema smartest people ni alien,

-Iweje wamekubali kufanywa mateka na watu wenye akili ndogo?

-Kwanini wenzao wasije kuwaokoa?

-Wanatumia lugha gani kuwasiliana na hao wamarekani?

Maswali yako mengi, lkn tujibu haya machache kwanza.
 
Asante upo vizuri broh.sasa hapo sijui nako watabisha maana wabongo bwana hatari.
achana na picha hizo, jua alien wapo! nasa wanavujisha habari za uongo kiasi na ukweli kiasi ili kuficha ukweli halisi, miaka 100+ (1890-2015) ya kushirikiana na viumbe wengine imeleta mabadiliko makubwa dunia kuliko miaka 4000 tangu mussa awatoe wana wa israel misri! zaidi ya miaka2000 tangu aje yesu! na wote hapo juu walimwamini mungu lakini hawakuona hata saa ya mkononi,achilia mbali kalikuleta!! walijua saa kwa kuangalia jua!! walipanda ngamia na punda!! leo miaka 100+ tu watu wanajenga kituo angani tena anga za juu(iss) bila nguzo wala kamba. kwa msaada wa( ita alien/jini/freemason/pepo, shauri yako) na kuna mengi ambayo yamekamilika yanasubiri muda muafaka kutangazwa kama teknolojia mpya! wale waliokataa viumbe hao leo wakifufuka watakimbia hii dunia, dunia inaongozwa na watu wenye akili za ajabu,nguvu za ajabu,washirika wa ajabu, (kama hutaki sio lazima vaa kobasi na rozari nenda kanisani/msikitini), nasa wanaendelea kufanya yao,wakivujisha habari na picha za uongo nusu na ukweli nusu, ukija mwisho wa dunia utajua alien waliwasaidia binadamu sana kwenye karne hii ya teknolojia na sayansi, huko kwa mungu alien hawana cha teknoloji, hapa dunia wanashirikiana na watu kufanya dunia isonge mbele,leo voyager 1 ipo umbali wa 130.62 au' kutoka duniani tangu iliporushwa 1977,kipo interstellar medium, miaka37 na miezi 9.juzi wa ulaya wametua chombo kweney comet, miaka kumi kinasafiri angani! unafikiri ni akili za kariakoo!!
 
hicho kiumbe cha ajabu kikoje? kiliachwa na wenzake wao walikuwa wanaenda wapi? natamani sana kujua
 
Kama nalijua basi sio la siri tena? Ila nina uhakika kuna mapango /maficho ya majambazi /mali za watu ambazo wanajua hao watu walioficha pekee, technically sababu ni wachache wanajua basi kwa percentage hayo ndio maeneo ya siri
 
Umesema smartest people ni alien,

-Iweje wamekubali kufanywa mateka na watu wenye akili ndogo?

-Kwanini wenzao wasije kuwaokoa?

-Wanatumia lugha gani kuwasiliana na hao wamarekani?

Maswali yako mengi, lkn tujibu haya machache kwanza.
alien hawakukamatwa! wameitwa kushirikiana na watu wenye akili! tatizo hizo picha za alien ndizo zinababaisha watu, hakuna picha sahihi hapo, ni janja ya nasa na cia,hawali maana hawakuumbwa kama sisi, pia hawajafungwa! wanakuja kutoa msaada na kuondoka, pia ujue hata picha za ufo si sahihi, japo ufo ni kweli, kazi ya nasa ni kuvujisha uongo/ukweli nusu nusu, pia hata urusi kuna alien, tukisema area 51 hata urusi wana eneo lao la siri kwa mambo yao ya ki utafiti na teknolojia japo si kama us. kuhusu lugha duh! (wazungu walipokuja tanzania walijua lugha zetu?) lakini waliweza kuwasiliana na hata kutawala. ni kama galaxy s6, badili lugha tu
 
2Q==

hii ni michoro ipo area 51,ipo mingi sana kwenye viunga pembeni ya barabara ya majaribio ya ndege za kijasusi,pia michoro hii ipo mingi sana kwenye vitabu vya kale vya kiyahudi,
 
As a person working with an organisation which is CERN scientific collaborator, and understands what's actually going on there, you are insulting my intelligence beyond imaginable reason. Please keep quite of things you have no idea how they are done.

In CERN as with ESA,NASA etc there is a lot of Quantum physics and rocket science involved which unfortunately is reserved for a tiny percentile of the human population.

What's next?pilots aren't really flying those huge pressurized metal balloons you call planes? accept that there are people who are smarter than you and they happen to not be aliens.

Hahaha and I believe the of tiny percentile and the "smarter"people you are as well exceptionally included!! Hehehe. Believe me Kimweri a proper scientist/professor working in a Tanzanian University or NIMR let alone CERN hardly knows what JF is let alone participate as much in these discussions. So unless you are a messenger or guardman at CERN you will not have time nor interest to participate this much in JF. So pleeease don't feel insulted.
 
alien hawakukamatwa! wameitwa kushirikiana na watu wenye akili! tatizo hizo picha za alien ndizo zinababaisha watu, hakuna picha sahihi hapo, ni janja ya nasa na cia,hawali maana hawakuumbwa kama sisi, pia hawajafungwa! wanakuja kutoa msaada na kuondoka, pia ujue hata picha za ufo si sahihi, japo ufo ni kweli, kazi ya nasa ni kuvujisha uongo/ukweli nusu nusu, pia hata urusi kuna alien, tukisema area 51 hata urusi wana eneo lao la siri kwa mambo yao ya ki utafiti na teknolojia japo si kama us. kuhusu lugha duh! (wazungu walipokuja tanzania walijua lugha zetu?) lakini waliweza kuwasiliana na hata kutawala. ni kama galaxy s6, badili lugha tu

Russia na yeye hana hivyo viumbe aliens???
 
ALIENS NI VIUMBE GANI?
Hawa ni viumbe vya nguvu za giza vinavyokaa au kumiliki anga. wanaojua mambo ya mapepo wanajua hili vzr sana. kuna viumbe wanamiliki na kuishi majini na wana mkuu wao na kuna viumbe vinamiliki anga na wana mkuu wao wa anga. uko ndiko sayansi yote ya dunia inatokaga uko.Je unaweza kufika vipi uko au kuwasiliana nao.? APA DUNIANI Kuna vyama vingi sana vya kichawi au nguvu za giza amabapo wanachama wao upew madaraja. wale amabao wamefika madaraja ya juu kabisa katika tasinia ya mambo ya nyota ndio huweza kufika uko juu angani kwa hao mapepo yani kwa mfalme wa anga na uyo mtu ataweza kufikishwa adi kwenye chuo kikubwa kabisa cha mabo ya ugunduzi wa kisayansi na technologia ambapo hufundishwa zen huja uku duniani na kusema wamegundua au wamevumbua kitu. ivyo kuusu viumbe hivi vya aliens ni kuwa hivi ni mapepo au mashetani na mabo haya yanafanyika kichawi.Naomba nishie apa ila tambueni iyo nchi mnayoizungumzia inatawaliwa na kuendeshwa na mila na desturi cha kichawi. Naishia apa kwasababu watakaonielewa ni wachache sana ambao eiza wapo ndani ya sociaty za kichawi au uwe mtu unyemjua Mungu wa kweli ambaye ni mwanzo na mwisho. elimu hii kuusu mapepo yanayomiliki angha ni ndefu.... Okoka mwisho umekaribia sana

.......Mkuu, una maelezo mazuri ila nimependa zaidi conclusion yako!
 
CERN na USA wapi na wapi?

51fpTXtDSbL._SY344_BO1,204,203,200_.jpg


https://www.youtube.com/watch?v=Za8WNmCamN0

Yup,eneo hilo ndipo hadi leo wapo the two white tall aliens,ukweli ni kwamba vituvingi wanavyofanya hawa jamaa sio akili za kibinadamu,wanapewa na aliens ambao wana uwezo wa kuishi hadi miaka 10,000
Unadhani mpaka watuwamefikia hatua ya kufanya project ya CERN bila msaada ya hivyo viumbe,project ambayo ikikosewa kidogo tu ita destroy dunia nzima?
wengi wa area 51 wako kwenye unit ya MEN IN BLACK
 
Wabongo mnasikitisha yani video kama hiyo na wewe unaamini! Hizo video hata mtoto wa miaka8 Anaweza tengeneza na kuupload YouTube

Huyo mlinzi watu wengine hawakumuona? Sehemu nyingine haendi nae? Acha umbulula

Ndio maana nasema wabongo mmejua kuingia YouTube na Google mnajikuta researchers waliobobea, research hazifanyiki YouTube


Mkuu,

Ubishi wako nimeupenda kwa kuwa unafanya wakuu wakachimbe, ila nimefanya analysis ya hizi comments...

Mawazo yetu yanaishia google na YouTube..
sas jana nimepitia baadhi ya links nikakutana za kina Icke na habari za shape-shifters wanakuambia hadi Obama ni reptilians ( alien breeding) , Mara alien wanatumia human kucontrol dunia....and most of political leaders, sport'smen , celebrity, entertainers, TV presenters are reptilians ( alien breeding)


Nilichogundua, hadi Mimi nitakuja KUAMINISHWA kuwa ni reptilian breeding wakati nimezaliwa ktk ukoo wa Regunilizaliwanahela huku Muleba....
 
Back
Top Bottom