Unalijua eneo la siri zaidi duniani Area 51?

Unalijua eneo la siri zaidi duniani Area 51?

ALIENS NI VIUMBE GANI?
Hawa ni viumbe vya nguvu za giza vinavyokaa au kumiliki anga. wanaojua mambo ya mapepo wanajua hili vzr sana. kuna viumbe wanamiliki na kuishi majini na wana mkuu wao na kuna viumbe vinamiliki anga na wana mkuu wao wa anga. uko ndiko sayansi yote ya dunia inatokaga uko.Je unaweza kufika vipi uko au kuwasiliana nao.? APA DUNIANI Kuna vyama vingi sana vya kichawi au nguvu za giza amabapo wanachama wao upew madaraja. wale amabao wamefika madaraja ya juu kabisa katika tasinia ya mambo ya nyota ndio huweza kufika uko juu angani kwa hao mapepo yani kwa mfalme wa anga na uyo mtu ataweza kufikishwa adi kwenye chuo kikubwa kabisa cha mabo ya ugunduzi wa kisayansi na technologia ambapo hufundishwa zen huja uku duniani na kusema wamegundua au wamevumbua kitu. ivyo kuusu viumbe hivi vya aliens ni kuwa hivi ni mapepo au mashetani na mabo haya yanafanyika kichawi.Naomba nishie apa ila tambueni iyo nchi mnayoizungumzia inatawaliwa na kuendeshwa na mila na desturi cha kichawi. Naishia apa kwasababu watakaonielewa ni wachache sana ambao eiza wapo ndani ya sociaty za kichawi au uwe mtu unyemjua Mungu wa kweli ambaye ni mwanzo na mwisho. elimu hii kuusu mapepo yanayomiliki angha ni ndefu.... Okoka mwisho umekaribia sana

I see,we have long journey as a country if our people don't know the consequence of education....hivi ni kwanini tunaenda shule ningeanzia hapo kukuuliza.
 
photography za movie mnatuletea ili tuamini kuwa hao alien wapo kwanza mmesema wapo wawili ila naona photo tofauti tofauti acheni bwna!
Nani kasema wapo mbona unaniQuote vibaya?
mm nimekataa HAWAPO na ndio maana nikakupa link km una shida nao ni vitu vya kubuni https://www.google.com/search?q=ali...YuFLI7b7AbFmIJg&ved=0CDsQsAQ&biw=1024&bih=639
na bado nikakupa link mfanyakazi wa CIA aliyestaafu (Thornton "TD"Barnes) alihojiwa na kusema alien's HAWAPO
UNOFFICIAL, OFFICIAL STORY
A year ago this past week, the federal government at long last acknowledged the secret facility inside the Nevada Test Site, freeing those like 77-year-old Las Vegas resident Thornton “TD” Barnes to finally tell his wife what he did for the Central Intelligence Agency from 1968 to 1975.
“Back then, aliens weren’t a thing,” Barnes said in an interview last week
 
Mkuu,
Ubishi wako nimeupenda kwa kuwa unafanya wakuu wakachimbe, ila nimefanya analysis ya hizi comments...
Mawazo yetu yanaishia google na YouTube..
sas jana nimepitia baadhi ya links nikakutana za kina Icke na habari za shape-shifters wanakuambia hadi Obama ni reptilians ( alien breeding) , Mara alien wanatumia human kucontrol dunia....and most of political leaders, sport'smen , celebrity, entertainers, TV presenters are reptilians ( alien breeding)
Nilichogundua, hadi Mimi nitakuja KUAMINISHWA kuwa ni reptilian breeding wakati nimezaliwa ktk ukoo wa Regu-nilizaliwa-na-hela huku Muleba....
jamaa yangu kusema watu wanaishia google na You tube ni kupotosha
National Geograph wanarusha kila wiki hizi Documentary za sayari ni wewe tu na king'amuzi chako km ni Azam tv au TV nyingine na hata Moon Fake, na Nevada area51 imerushwa sana huko.
Kwa vile Mmarekani ndio kashikilia vyombo vingi vya mtandao basi tuishie hapo maana wengine hatutaeleweka tukimwaga majibu ya Neil Amstrong hapa
 
Hata kama ingekuwepo hapa Tanzania isingekuwa siri. Wabunge wa chadema wenye akili finyu na kupiga makelele bungeni wangetaka ijadiliwe bungeni na bajeti yake itangazwe.

Kama ile ya Meremeta na Escrow! ha ha ha !! kila kitu kwa CCM hata ambacho kina manufaa kwa taifa ni kupiga tu! Ile rada na change yake vipi?
 
jamaa yangu kusema watu wanaishia google na You tube ni kupotosha
National Geograph wanarusha kila wiki hizi Documentary za sayari ni wewe tu na king'amuzi chako km ni Azam tv au TV nyingine na hata Moon Fake, na Nevada area51 imerushwa sana huko.
Kwa vile Mmarekani ndio kashikilia vyombo vingi vya mtandao basi tuishie hapo maana wengine hatutaeleweka tukimwaga majibu ya Neil Amstrong hapa


Ila bado, marekani hawezi akaweka information zote mtandaoni, Hata hizo za NG zinzorushwa...zikieditiwa pia utaziangalia na kuziamini...
Though, baadhi ya vitu vya kinadharia kila mtu ana mtazamo wake...thats why kila mtu anasema anachokiamini...
 
mkuu kama hujui subiri humu watakuja wajuaji, eneo lipo tangu enzi ya miaka ya sitini! Hizo ufo,flaing objekti,flaing sousa, hata u2 na sr71 zilifanyiwa majaribio hapo, ndiko raho ya nasa na majaribio mengi wa tekinlojia za siri hifanyika. Mimi nawasuburi wajuaji waje watupe mambo.......
Na wewe unafanya kazi katika hilo eneo?
 
Mkuu atakuwa.amesaidia watu wana kufa kwa upumbavu wa watu fulani wanao jifanya wanajua kutengeneza virus vya kuua binadamu wenzao
 
Ila bado, marekani hawezi akaweka information zote mtandaoni, Hata hizo za NG zinzorushwa...zikieditiwa pia utaziangalia na kuziamini...
Though, baadhi ya vitu vya kinadharia kila mtu ana mtazamo wake...thats why kila mtu anasema anachokiamini...
hii ndio Jamii Forums bwana hata ukiweka mada ya MUNGU watachangia na kubisha evidence watatoa na bado watauliza Source, si bora hata hii ya mwezini kwani utashangaa ukiambiwa na Mchina yumo na picha kazileta
maajabu ya Dunia
https://www.youtube.com/watch?v=I1gAvuGwweI
[h=1]China's space agency releases new pics of the Moon[/h]
 
hii ndio jamii forums bwana hata ukiweka mada ya mungu watachangia na kubisha evidence watatoa na bado watauliza source, si bora hata hii ya mwezini kwani utashangaa ukiambiwa na mchina yumo na picha kazileta
maajabu ya dunia
https://www.youtube.com/watch?v=i1gavugwwei
china's space agency releases new pics of the moon
sio ajabu kuwa na mawazo pinzani, hata israel kuna wayahudi wanamsubiri yesu aje! Pia kuna maprofesa hawaamini mungu wakati wauza mchicha tunaamini. Kuamini/kutokuamini hakuondoi ukweli
 
hii ndio Jamii Forums bwana hata ukiweka mada ya MUNGU watachangia na kubisha evidence watatoa na bado watauliza Source, si bora hata hii ya mwezini kwani utashangaa ukiambiwa na Mchina yumo na picha kazileta
maajabu ya Dunia
https://www.youtube.com/watch?v=I1gAvuGwweI
[h=1]China's space agency releases new pics of the Moon[/h]


Hahaaa,

Ila hizi habari zinavutia Hata kuzisoma, ijapokuwa kila mmoja anamini kivyake...
 
Kwa mtu anaefuatilia mambo hii ni story ya kweli lakini nawasihi muwe watu wa mungu na si wa shetani kwa kua adhabu yao ni kubwa mno wao wenyewe wanajua na shetani mwenyewe anajua anachofanya shetani ni kutafuta watu wa kwenda nao huko motoni cha msingi tuombe kila wakati ili tupate kupita salama na kuikwepa gadhabu ya mungu
 
hiyo kitu inayoitwa kuwa kuna two aliens ni uongo ,vitu vyote vinafanyika kisayansi na kufanyiwa majaribio tatizo lenu hamfirii 100 yrs to come itakuaje au iweje nyie mnawaza two aliens,hao two aliens kama wana uwezo wa ajabu kwa nini wasitoroke au kukombolewa na wenzao
 
Kwa mtindo huo ni kwamba hakuna mtu aliewahi kufika huko mwezini?
UKO TAYARI? WAMARIKANI WALIENDA MWEZINI, LAKINI SI KWA ILE SAFARI YA MWANZO YA NEIL AMSTRONG! YA KWANZA WALIICHAKACHUA ILI KUWASHINDA WENZAO(WARUSI) WAKAENDA YA KWELI BADAE AMBAYO ISINGEWEZA KUTANGWAZWA MAANA INGEFUTA ILE YA KWANZA YA VIGELEGELE!! UPO? YA KWANZA IMETENGENEZWA(SHIIIIII) WASIJE KUSIKIA. YA PILI NDIO YA KWELI NA YA MWANZO, SASA SUBIRI WAJE.....
armstrong.jpg
 
Hiyo picha haihitaji hata degree kutambua ni photoshop..hcho kivuli cha tank yamafuta kimeelekea kwengine na kivuli cha hilo sijui rover kimeelekea kwengine na huyo jamaa anaejaza mafuta hana kivuli au ndio Reptilians mwenyewe?😛

tatizo la kivuli kuelekea vice versa abour limeonekana katika official video pia kwa maana hiyo ata ile video ni uongo pia...hapo vivuli vipo hvyo kwa sababu kuna chanzo zaid ya kimoja cha mwanga.......
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom