Rapha
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 634
- 201
As far as i knw they are consuming energySo hao eliansi wanaongea lugha gani.......wanakulaga nini.......?........habari zaidi kuwahusu.............
As far as i knw they are consuming energySo hao eliansi wanaongea lugha gani.......wanakulaga nini.......?........habari zaidi kuwahusu.............
tamimusalim hili ni eneo walikopiga picha za Apollo 11 kwamba wamefika mwezini ndio maana CIA na NASA hawakubali watu wapasogelee maana SIRI ya USA kwamba hawajawahi kwenda mwezini itafichukanatamani kucheka! Ki ukweli nimecheka, kama wajuzi walivyosema hapo juu, kunadhaniwa kuwa na viumbe wa anga za mbali walitua area 51(walikuwepo, sijui kwa sasa) h abari za hapo ni siri sana, na mengi unayoyasoma yametoka kwa kuvujavuja! Unahijati kukomaa kweli kujua habari za alien kwa sababu kiasi kikibwa zinashindana na imani za dini zetu, kuna wataalam wa sayansi wa nasa,cia,nsa ambao wanaweka dini pembeni ili kufanikisha masuala ya tekinalojia!! Hawa wanajua namna ya kuwasiliana na viumbe wengine(ambao kwa kawaida hawapo,kwa siri wapo)wakatafuta eneo la ziwa la magadi na jangwa lililo katikati kama bonde kuuuubwa wakaliita area 51, linalindwa kupita maelezo, hata ndege hazipiti anga lake! Sasa kazi ilikuwa kutengeneza mazingira wa kuwapata hao (alien) kuna michoro mingi ya ajabu area 51 kuanzia geomatrik,pantagram...
Tanzania iko wapi
Yup,eneo hilo ndipo hadi leo wapo the two white tall aliens,ukweli ni kwamba vituvingi wanavyofanya hawa jamaa sio akili za kibinadamu,wanapewa na aliens ambao wana uwezo wa kuishi hadi miaka 10,000
Unadhani mpaka watuwamefikia hatua ya kufanya project ya CERN bila msaada ya hivyo viumbe,project ambayo ikikosewa kidogo tu ita destroy dunia nzima?
wengi wa area 51 wako kwenye unit ya MEN IN BLACK
Wabongo kwa kuamini conspiracy theories!
Area51 imejaa conspiracies kama ilivyo illuminati au freemasonry hapa wote mnajazana chenga tu Hakuna anaejua
Kama linalindwa nyie mnajuaje? Tatizo waaTz mmejua kuingia YouTube na Google basi wote mnajifanya researchers mliobobea. Smh
Hakuna uthibitisho wa aliens mahala popote duniani acheni kujazana ujinga
So hao eliansi wanaongea lugha gani.......wanakulaga nini.......?........habari zaidi kuwahusu.............
upo sahihi kabisa na hata picha uliyoitoa post # 65 ni Area 51 ambako hata senator yeyote hatakiwi kupafahamu km nilivyokwisha sema ndipo Apollo 11 ilipotua sasa ili USA asiaibike ni heri mtu akapotezwa uhai wakeasante mleta mada maana tumeelimika kiasi,
sijaelewa anachokataa ni kipi kwani mada imezungumzia vitu vi3 tofauti ambavyo vyote ni vizito kujadili km mada mojaHakuna
Nevada’s best-kept secrets endure at Area 51 | Las Vegas Review-JournalUNOFFICIAL, OFFICIAL STORY
A year ago this past week, the federal government at long last acknowledged the secret facility inside the Nevada Test Site, freeing those like 77-year-old Las Vegas resident Thornton "TD" Barnes to finally tell his wife what he did for the Central Intelligence Agency from 1968 to 1975.
"Back then, aliens weren't a thing," Barnes said in an interview last week
ALIENS NI VIUMBE GANI?
Hawa ni viumbe vya nguvu za giza vinavyokaa au kumiliki anga. wanaojua mambo ya mapepo wanajua hili vzr sana. kuna viumbe wanamiliki na kuishi majini na wana mkuu wao na kuna viumbe vinamiliki anga na wana mkuu wao wa anga. uko ndiko sayansi yote ya dunia inatokaga uko.Je unaweza kufika vipi uko au kuwasiliana nao.? APA DUNIANI Kuna vyama vingi sana vya kichawi au nguvu za giza amabapo wanachama wao upew madaraja. wale amabao wamefika madaraja ya juu kabisa katika tasinia ya mambo ya nyota ndio huweza kufika uko juu angani kwa hao mapepo yani kwa mfalme wa anga na uyo mtu ataweza kufikishwa adi kwenye chuo kikubwa kabisa cha mabo ya ugunduzi wa kisayansi na technologia ambapo hufundishwa zen huja uku duniani na kusema wamegundua au wamevumbua kitu. ivyo kuusu viumbe hivi vya aliens ni kuwa hivi ni mapepo au mashetani na mabo haya yanafanyika kichawi.Naomba nishie apa ila tambueni iyo nchi mnayoizungumzia inatawaliwa na kuendeshwa na mila na desturi cha kichawi. Naishia apa kwasababu watakaonielewa ni wachache sana ambao eiza wapo ndani ya sociaty za kichawi au uwe mtu unyemjua Mungu wa kweli ambaye ni mwanzo na mwisho. elimu hii kuusu mapepo yanayomiliki angha ni ndefu.... Okoka mwisho umekaribia sana
existence ya aliens ni kifikra zaidi watu wamefikirishwa tu hakuna kitu kama hicho
Wapo bana.......aliens hawa hata picha zao zipo jamani.........
..
wala usiogope ku-Google au unaenda You=Tube https://www.youtube.com/watch?v=9OY9lni0F_sWakuu endeleeni basi,
Au mmenda ku-google nini?