Unalijua eneo la siri zaidi duniani Area 51?

Kama lingekuwa siri usingejua. Inawezekana ni eneo la siri zaidi marekani, sio duniani. China, Russia na Korea Kaskazini ndio wana maeneo mengo ya siri zaidi duniani.

Yataje huko china russia na korea....toa ushahidi kama mm
 
Mtoa Uzi Uko vzr ila heading umeitia chumvi mno ikiwa we mwenyewe unaelewa kama area51 Sasa usiri Uko wapi!
©® nimekaa kimya nkitafakari rephrase ya heading yako.

Kwani maana ya siri ni nini?? Kila siku ukiwa unaingia chumbani na mkeo kile kitendo mnakifanya kwa siri japo watoto na house maids wanajua mnabanjuana kila usiku..
 
Sasa litakua la siri wakati lishawekwa hadi kwenye google
 
Kwani maana ya siri ni nini?? Kila siku ukiwa unaingia chumbani na mkeo kile kitendo mnakifanya kwa siri japo watoto na house maids wanajua mnabanjuana kila usiku..

Point. Inajulikana unabanjua. Ila unafanya siri. Ndio siri. Area 51 inajulikana. Ila kuna siri. Ni aneo la siri. Hata kama unaliona kupitia google lakini hutii mguu pale....
 
ALIENS NI VIUMBE GANI?
Hawa ni viumbe vya nguvu za giza vinavyokaa au kumiliki anga. wanaojua mambo ya mapepo wanajua hili vzr sana. kuna viumbe wanamiliki na kuishi majini na wana mkuu wao na kuna viumbe vinamiliki anga na wana mkuu wao wa anga. uko ndiko sayansi yote ya dunia inatokaga uko.Je unaweza kufika vipi uko au kuwasiliana nao.? APA DUNIANI Kuna vyama vingi sana vya kichawi au nguvu za giza amabapo wanachama wao upew madaraja. wale amabao wamefika madaraja ya juu kabisa katika tasinia ya mambo ya nyota ndio huweza kufika uko juu angani kwa hao mapepo yani kwa mfalme wa anga na uyo mtu ataweza kufikishwa adi kwenye chuo kikubwa kabisa cha mabo ya ugunduzi wa kisayansi na technologia ambapo hufundishwa zen huja uku duniani na kusema wamegundua au wamevumbua kitu. ivyo kuusu viumbe hivi vya aliens ni kuwa hivi ni mapepo au mashetani na mabo haya yanafanyika kichawi.Naomba nishie apa ila tambueni iyo nchi mnayoizungumzia inatawaliwa na kuendeshwa na mila na desturi cha kichawi. Naishia apa kwasababu watakaonielewa ni wachache sana ambao eiza wapo ndani ya sociaty za kichawi au uwe mtu unyemjua Mungu wa kweli ambaye ni mwanzo na mwisho. elimu hii kuusu mapepo yanayomiliki angha ni ndefu.... Okoka mwisho umekaribia sana

Whaaat?
Alien ni mapepo???
Ha ha ha
 
Umu inaonekana mkichukuliwa wote mfanye kitu mnaeza fanya kitu amazing maana wanasayansi wengi mnooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] (mtazamo tu)[emoji125] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji89] [emoji89] [emoji89] [emoji89] Aliens hao nyie wabishi wapo ni utani tuu[emoji1] [emoji2] [emoji2]
 
ALIENS NI VIUMBE GANI?
Hawa ni viumbe vya nguvu za giza vinavyokaa au kumiliki anga. wanaojua mambo ya mapepo wanajua hili vzr sana. kuna viumbe wanamiliki na kuishi majini na wana mkuu wao na kuna viumbe vinamiliki anga na wana mkuu wao wa anga. uko ndiko sayansi yote ya dunia inatokaga uko.Je unaweza kufika vipi uko au kuwasiliana nao.? APA DUNIANI Kuna vyama vingi sana vya kichawi au nguvu za giza amabapo wanachama wao upew madaraja. wale amabao wamefika madaraja ya juu kabisa katika tasinia ya mambo ya nyota ndio huweza kufika uko juu angani kwa hao mapepo yani kwa mfalme wa anga na uyo mtu ataweza kufikishwa adi kwenye chuo kikubwa kabisa cha mabo ya ugunduzi wa kisayansi na technologia ambapo hufundishwa zen huja uku duniani na kusema wamegundua au wamevumbua kitu. ivyo kuusu viumbe hivi vya aliens ni kuwa hivi ni mapepo au mashetani na mabo haya yanafanyika kichawi.Naomba nishie apa ila tambueni iyo nchi mnayoizungumzia inatawaliwa na kuendeshwa na mila na desturi cha kichawi. Naishia apa kwasababu watakaonielewa ni wachache sana ambao eiza wapo ndani ya sociaty za kichawi au uwe mtu unyemjua Mungu wa kweli ambaye ni mwanzo na mwisho. elimu hii kuusu mapepo yanayomiliki angha ni ndefu.... Okoka mwisho umekaribia sana

Nakutumia technolojia iliyogunduliwa na mapepo ni sahihi?
 
[h=1]Area 51 Alien Sighting 2015[/h]

Last edited by a moderator:
Sema ni the most Classified area sio la siri
 
Mh!kuna watu wapo nondo humu balaa.Huenda mkatatua tatizo langu la kutapeliwa.Je nizimwage namba za hao matapeli mnisaidie mmoja baada ya mwingine hata kwa pm?
 
Watu wengi hawatafakari haya mambo!,ndio maana wale walioambiwa dunia ni duara,walikataa,nenda mecca,vatican n.k ujue siri,maarifa yamefichwa,tafakari! alien wapo!
 
Wa marekani hawakwenda Mwezini, issue ilirekodiwa Area 51, maana ni jangwani... na pana features kama za Mwezini. Miaka ya 1960's, wazungu walikuwa na kamsemo kao, "if you can't make it fake it".... Ndio maana panalindwa sanaaa.
 
Back
Top Bottom