VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,481
- 1,450
- Thread starter
- #461
Ndo nini?Kwanini mnapenda kunyanza?
Ndo nini?Kwanini mnapenda kunyanza?
Kupiga blashNdo nini?
Kupiga katerero sio?Kupiga blash
Kwanini kule gikondo kuna eneo hamna umeme halafu kati kati ya mji? Tofauti gipoloso,kanombe,remera kinsiment, kimihururu, nyarugenge kule nyamirambo kwa waswahili
Anajifanya hajui 😄Kupiga katerero sio?
Hata huko ni yale yale. Mtaa mmoja utauona unawaka, mwingine ni hayo hayo. Ukisema mjini hakuna umeme,utakuwa unaongopa. Unaweza kukatika kwa jambo furani, japo umeme wa Rwanda, kukata dakika tano ni nadra sanaKupiga blash
Kwanini kule gikondo kuna eneo hamna umeme halafu kati kati ya mji? Tofauti gipoloso,kanombe,remera kinsiment, kimihururu, nyarugenge kule nyamirambo kwa waswahili
Huku wapi? Mimi nina uhakika mwambie Kagame awapeleke umeme pale ukweni kwangu Gikondo, si jirani zake pale na ikulu.Hata huko ni yale yale. Mtaa mmoja utauona unawaka, mwingine ni hayo hayo. Ukisema mjini hakuna umeme,utakuwa unaongopa. Unaweza kukatika kwa jambo furani, japo umeme wa Rwanda, kukata dakika tano ni nadra sana
Sasa mkwe, asieweza hata kununulia wakwe zake Sola, akabaki wa kulalamika mitandaoni, mke atamhudumia?Huku wapi? Mimi nina uhakika mwambie Kagame awapeleke umeme pale ukweni kwangu Gikondo, si jirani zake pale na ikulu.
😄 🤣 😂Sasa mkwe, asieweza hata kununulia wakwe zake Sola, akabaki wa kulalamika mitandaoni, mke atamhudumia?
Huyo ni dada sio kakaUmejibu vizur sana kaka mkubwa nimetosheka. Ila mbunye vip zinapatikana kwa usahihi ama
Kipimo chako cha udada na kaka kimekaeje?Huyo ni dada sio kaka
😁 Kiswahili gani hicho mnafundishana huko mkuu?Kiswahili cha darasani, ni tofauti sana na cha kuongea. Hivyo, mwalimu wa kiswahili Rwanda, akifika Tanzania anaweza akapotea na asiweze kupata huduma yoyote.
Elimu za kimasikini zipo kila kona. Ukifundishwa na mtu aliefundishwa, mnajazana ujinga tu. Somo lolote lisilo na practice, ni zero. Na unajua lugha ni ngumu kama huitumii, unaishia nyakati na misamiati. Kwa Rwanda,ukiwa mtanzania na umesomea ualimu, kupata chance ya kufundisha kiswahili ni kugusa tu.😁 Kiswahili gani hicho mnafundishana huko mkuu?
Au nanyi mnakaririshana vishazi na virai? Maana sisi hivyo vidude huwa tunaviacha hukohuko darasani mtaani hatuna kazi navyo
Kwani kila mwanaharakati mpaka awe mhanga wa moja kwa moja ktk harakati husika?? au wale wanao kitambaa cha u captain cha upinde pale EPL kuunga watu wa aina hiyo kuwa nao pia huwa ni ma gay??? Shida una type kwa kutumia wino wa mavi kichwani na akili za kuokoteza jaribu kuifichia aibu familia yenu japo kidogo, sio kila mtu anaunga jambo fulani ni mpaka awe mhanga, au kila mtu kwenda msibani mpaka nae awe amekufa si ndio… pumbavu kabisa weweHiyo ndiyo excuse yenu ya kibwege. Yeye ana biashara gani sokoni Kariakoo mpaka awe FRONT?
Kumbe Bulaya001 unapakuliwa na wanaume?? Naona unaleta hoja za LGBT hapa kuhalalisha starehe yako.Kwani kila mwanaharakati mpaka awe mhanga wa moja kwa moja ktk harakati husika?? au wale wanao kitambaa cha u captain cha upinde pale EPL kuunga watu wa aina hiyo kuwa nao pia huwa ni ma gay??? Shida una type kwa kutumia wino wa mavi kichwani na akili za kuokoteza jaribu kuifichia aibu familia yenu japo kidogo, sio kila mtu anaunga jambo fulani ni mpaka awe mhanga, au kila mtu kwenda msibani mpaka nae awe amekufa si ndio… pumbavu kabisa wewe
Samahani kwa kauli ntakayoitumia lakini: unalinganishaje kata na bara?Vipi mtazamo wako. Kati ya Kigali na Dar es Salaam jiji lipi linavutia zaidi na kwa sababu zipi?
We nenda tu. Point no #478 ina maelezo. Una hela zako, nenda tumia, zikiisha, rudi kwenu katafute nyingine.Nihamie Rwanda