Uliza chochote kuhusu Rwanda

Uliza chochote kuhusu Rwanda

Kwakuwa Rwanda ni ndogo sana ni kwanini isifanywe mkoa wa Tanzania.
Kwa kuwa Tanzania ni kubwa kuliko Rwanda, kwa nini isiunganishwe na Rwanda, mikoa yake iongezeke kwa huo mmoja wa Rwanda?
Pia, hilo swali ulipomuuliza rais Samia, alikujibu nini?

Rwanda ni nchi. Kila nchi, kimataifa ina namna inavyotambulika. Kwa hiyo, mawazo mengine ni ya kitoto.


Tena naona wewe kuna siku utamuomba mpangaji mwenzio mkewe ahamie kwako.
 
1. Rwanda ni sehemu salama kwa kila mtu, endapo hujishughulishi na mambo ya ugaidi na wizi. Rwanda, ukiibiwa kitu labda uamue kupotezea, ukilipoti kwa muda, hata miaka iwe 10, kitapatikana tu. Kikubwa uwe na vielelezo vya kujitosheleza kuwa ni mali yako halali.
Kuhusu soko la mazao, chakula kinahitajika. Kama una uwezo, soko ni la uhakika.


2. Rwanda hatuna cha muwekezaji mkubwa wala mdogo, kama wewe ni mkazi wa nchi mojawapo za jumuia ya Afrika Mashariki. Una mtaji wako, una kitambulisho chako(kwa ajiri ya TIN Number), utafanya biashara. Rwanda hakuna cha huyu haruhusiwi kufanya hiki wala kile, kwa wakazi wa EAC.
Kodi inategemea na mtaji, mauzo na aina ya biashara. Ila kodi hazikwepeki. Rwanda kwa sasa mfumo wa kielektroniki ndo umeshamili, mambo ya shortcut, ni ya kulenga kwa manati. Ila, ukitaka uishi vizuri,bila bughda, fuata taratibu. maana adhabu za kukwepa kodi, utajuta.

3. Kuhusu hili, kwa kweli sijui kivile, labda nitafute taarifa za uhakika. Ila, kyutokana na bei ya ardhi na mlivyozoea nyie, sijui kama kuna mtanzania ana mpango wa kununua ardhi Rwanda. Ila, kiwanja kama makazi tu, haina tatizo. Changamoto itakuja kwenye hati miliki. Mfumo unakubali tu ID za Rwanda, kwa watu wa nje, sijajua itakuwaje. Ila, kama ukioa au kuolewa, mwenawako anaandikishwa, na mkioana kishelia, lazima na wewe utatambulika kama mmiliki kwa asilimia 50.
Ukionyesha nia ya kukaa hawana makuu mzee.

4. Biashara hizo kubwa kubwa, labda uweze kudeal na taasisi kubwa. Maana si kama kwenu mtu anawanunulia magari demu zake 5, unanunua hili, ukilichoka unapaki unachukua lingine.
Kwanza magari ya kuanzia miaka 20 na kuendelea, ushuru wake ni mkubwa sana.

Pili, Rwanda inajaribu kupunguza umiliki wa magari, kwa sababu ya miundo mbinu. Hivyo, magari yanayohitajika, si mengi kivile. Magari mapya, gharama ni kubwa, wenye uwezo ni wachache. Mtumba, ndo hivo vikwazo ni vingi.
Umejibu vizur sana kaka mkubwa nimetosheka. Ila mbunye vip zinapatikana kwa usahihi ama
 
Umejibu vizur sana kaka mkubwa nimetosheka. Ila mbunye vip zinapatikana kwa usahihi ama
Ndo maana watanzania wengi akili zenu ni za bandia. yaani, vitu vyoooote, umewaza ukaona mbunye tuuuu! Shenyeta siku moja na wewe utashenyetwa tu.

Anyway, sijui usahihi unamaanisha nini.
Ila, ukikaa, kama unataka za sitara, utapata. Ukiwa unapitapita tu, zile za kupima ndo utapata.
 
Ni
Ndo maana watanzania wengi akili zenu ni za bandia. yaani, vitu vyoooote, umewaza ukaona mbunye tuuuu! Shenyeta siku moja na wewe utashenyetwa tu.

Anyway, sijui usahihi unamaanisha nini.
Ila, ukikaa, kama unataka za sitara, utapata. Ukiwa unapitapita tu, zile za kupima ndo utapata.
Vile umeongelea Watanzania na wew ni mtanzania sio mbaya sana. Tuchakate mbususu😁
 
Nakataa, kigali kubwa karibia Mwanza, kahama bado sana kuilinganisha na chigali kwa miundombinu mpaka idadi ya watu
Acha uongo.

Rwanda yote ukubwa wake ni sawa na mkoa wa Tanga.

Hiyo Kigali ni kisehemu kidogo sana, labda ulingnishe na Magufuli City
 
Acha uongo.

Rwanda yote ukubwa wake ni sawa na mkoa wa Tanga.

Hiyo Kigali ni kisehemu kidogo sana, labda ulingnishe na Magufuli City
Utabishana nae kama anaijua!!! Kama ni mwenyeji Mwanza( Nadhani ukitoka Buhongwa kwenda Buzuruga) Kigali umesha imaliza.
 
Nakataa, kigali kubwa karibia Mwanza, kahama bado sana kuilinganisha na chigali kwa miundombinu mpaka idadi ya watu
Unajua wapi na wapi mkuu! Kutoka Kabuga-Giti cy'inyoni au Kabuga-Nyabarongo, na pikipiki, ni zaidi ya dakika 25-30?
 
Hivi, kila mtu ameshakuwa mwanasiasa na msemaji wa jeshi huko? Unachokiita uchokozi ni nini? Kama imechokozwa, ilishindwa kujibu?
Tumieni akili zenu kwa mambo yanayojenga taifa lenu, yanayoweza kuwa na manufaa hata kwa bara kwa ujumla. Misifa mingine ya kijinga tu.
Kwa taarifa yako, kama unajua haijawahi kutokea, na haitawahi kutokea Tanzania ikaingia vitani na Rwanda. Kwa lipi labda?
Rwanda wanataka kuimega Tanzania kama wanavyofanya DRC wanataka kupanua nchi yao.waambie wasijaribu Watapigwa vibaya.
 
Acha uongo.

Rwanda yote ukubwa wake ni sawa na mkoa wa Tanga.

Hiyo Kigali ni kisehemu kidogo sana, labda ulingnishe na Magufuli City

Ukubwa wa Kigali unalingana na Mwanza Jiji. Magufuli City padogo Sana.
 
Kwenda kutalii siku mbili nikiwa huko. Malazi chakula na vivutio. Gharama?
 
Back
Top Bottom