Ukutanishwe na nani wa Jamiiforums?

Ukutanishwe na nani wa Jamiiforums?

Sitaki kukutana na yeyote wa humu.

(Willingly) never ever again.

Hivi tu watu hawakujui lakini hawaishi kukuzushia uzushi.

Wakikutana na wewe in the flesh si ndo utakuwa umewapa fodder ya kutosha kwa uzushi wao....

So hell to the no. But y'all can meet if you want to. But for me, just ain't my thing....

hili itabidi tulianzishie thread siku moja mkuu , kuna watu humu wanajipa vyeo vya kufahamu wenzao kuanzia maisha ya jf mpaka ya nje ya jf wakati hata PM hamjawahi kuandikiana.

hili itabidi tulikemee siku moja......... inaudhi na haipendezi.
 
Humu ndani tumekuwa wengi hatufahamiani ila tumeweza kuwa karibu kupitia id zetu tu. Kwa mfano kama ukipatiwa fursa ya kukutana live na mwana JF mwenzako ungependelea ukutane na nani.

Weka jina hapa
Mimi ningependa nikutane na "Tony Gwanco", ila masharti ya signature yako yazingatiwa....!
 
umeona eeeh!!!! kuna watu wambea wambea sana kama hawana kazi za kufanya vile. watu wanataka wakutane wapate la kuongea kwa wengine.

besti Husninyo wengine mbona wazandiki tu na mtu hata hujakutana naye na hata PM tu hamjawahi kuandikiana.

humu ndani wengine wazushi , hawana cha kujadili humo PM wanabaki kujadili watu wasiowafahamu kwa uzushi kama vile mmezaliwa tumbo moja.
 
Last edited by a moderator:
Nitaweka link kabisa, au kabanga kashaleta maana?

kabanga hajafika apa..nahisi ana zamu ya lindo kwa Snowden si unajua yeye ni KGB

ndio nakatiza mtaa huu kaka utafiti
Asante kwa kuja kaka, hapo juu kuna neno kalitoa Kaizer nimegoogle ila limenishinda hebu nisaidie, na Tized pia anaweza kutoa msaada

ndio maana nilikaa kimya haya maneno ya mjini wanajua wenyewe wakina Kaizer...
 
Last edited by a moderator:
hili itabidi tulianzishie thread siku moja mkuu , kuna watu humu wanajipa vyeo vya kufahamu wenzao kuanzia maisha ya jf mpaka ya nje ya jf wakati hata PM hamjawahi kuandikiana.

hili itabidi tulikemee siku moja......... inaudhi na haipendezi.

Wananikera sana mimi hao watu.

Jitu halikujui, halijui chochote juu yako lakini liko mstari wa mbele kuambia watu wengine kuhusu mambo yako (ambayo ni ya uzushi mtupu).

Eti sijui ulitoka na fulani wakati huyo fulani mwenyewe hata hamjuani zaidi ya kukutana tu humu JF kama unavyokutana na wengine.

Aibu!
 
watu 8, utafiti, masaia dada, kombolela, mtanbuzi, mzizimkavu, nitonye, ngassa. matola. kaseja, rage, bi hindu, kabiru =, ridhwani, k-jakaya, komba, kigwangala, zito, mdee, etc
 
Back
Top Bottom