Ukutanishwe na nani wa Jamiiforums?

Ukutanishwe na nani wa Jamiiforums?

teh teh...bora tu ulivyojitoa kwenye kiwanja cha kaka yangu..mtajengaje wawili sehemu moja?

Alikua hawajui wasukuma huyo! Angezidi kung'ang'ana wala nisingepata shida! Ningempa karucee lukomolo kidogo tu asingesia kelele yoyote toka kwa Eli79
 
Last edited by a moderator:
Alikua hawajui wasukuma huyo! Angezidi kung'ang'ana wala nisingepata shida! Ningempa karucee lukomolo kidogo tu asingesia kelele yoyote toka kwa Eli79
kumbe nyie waarabu wa pemba eeh!!
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha ha
Kaizer ebu saidia hapo maana wewe umelianzisha hili!

Aandike yeyote to ila google ina akili itamwambia "did you mean...."😀😀😀😀
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom