Ukutanishwe na nani wa Jamiiforums?

Ukutanishwe na nani wa Jamiiforums?

Mimi nataka nimuone Eiyer.....sijui anafananaje aisee
 
Mkuu yeyote Mkuu! Km hii meku Mr Rocky na ile Masai OLESAIDIMU na ile Dreva Yao Mndengereko na Yule mfanyakazi Wa kanji bai utafiti na kijana Tized na chapombe Kaizer na ile paroko Eiyer na Shemeji Mentor na #teamRafiki wote na #teamBazazi wote napenda sn kuonana nao!

Na dada zangu wote mwallu miss neddy Karucee charminglady Heaven on Earth masai dada Kaunga na wengine wooote nawapenda sn na ninapenda sn kuonana nanyi!


Na mume mwenzangu Eli79 napenda sn kuona yeye!

mimi pia natamani kukutan na wewe sezae afu nahitaji ufafanuzi karucee ni your dada tena?
 
Last edited by a moderator:
kuna watu nachat nao kwa pm aiseee nikija kuwaona roho yangu itasuuzika japo kuwa wapo wengi sana huku miss u fmbenson
 
Ningefurah sana kuwaona hawa
miss chaga
ichana
charming lady
blue g
uran
kichoi
exel
mtoto halali na hela
husninyo
mamndenyi
katavi
sijui kama wamefanana na ninavowachukulia
 
Ningefurah sana kuwaona hawa
miss chaga
ichana
charming lady
blue g
uran
kichoi
exel
mtoto halali na hela
husninyo
mamndenyi
katavi
sijui kama wamefanana na ninavowachukulia

husninyo unamchukuliaje?
 
Back
Top Bottom