Ukutanishwe na nani wa Jamiiforums?

Ukutanishwe na nani wa Jamiiforums?

umeona eeeh!!!! kuna watu wambea wambea sana kama hawana kazi za kufanya vile. watu wanataka wakutane wapate la kuongea kwa wengine.

Ndo hivyo tu na si jingine. Sasa kwa nini mi niwasaidie katika hiyo ajenda yao chafu?

Heri niende zangu kwa Ustaadh Swaleh nikapige naye stori za kusafisha nyota :smile-big:
 
hahahaha!!!!! ngoja namie nikachukue namba yake. lol.
 
Nkutane na Nyan Ngabu lkn hatak kukutana na m2 ila me co mzush
 
hahahahaha!!! ujue ww mchokozi sana. kila mtu ataenda kwa ustadh swalehe kwa muda wake bana.

Mie mchokozi tena au nimewaza kwa sauti!!!!!!????
Haya bhana asije ustadh akasema nambania wateja bure, ila kwa masuala ya nyota mtapewa appointment saa nne usiku!!!
 
hahaha!!! ushaharibu sasa. huo muda ndo mzuri lakn maana tukitoka huko hamisi atanidrop home. teheeeeee!!!!
 
wanamme huwa sio wambea, labda ukutane nao🙂

Back
Top Bottom