Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,925
- 110,361
Hahaha nitafuta ushauri wako mkuu...
HAhahahaah watu8,Unamaanisha kwamba ladyfurahia ni wa Bodaboda na siku akipanda Bajaj full kusinzia yani ana-relax mnooo.Kwa ushauri wangu tu hiyo Bentley itume tena kaka, ila weka na Neti kabisa na mashuka bila kusahau mito.