Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
wewe..............
wewe..............
aya mkuu na mimi natamani kukuona aisee
Natamani kuwaona hawa
Evalyn salt
miss chagga
lara 1
Crashwise
invisble
mshana jr
himidin
christine ibrahim
John Mnyika
Humu ndani tumekuwa wengi hatufahamiani ila tumeweza kuwa karibu kupitia id zetu tu. Kwa mfano kama ukipatiwa fursa ya kukutana live na mwana JF mwenzako ungependelea ukutane na nani.
Weka jina hapa
miss chagga hana wezele sasa
aiseee wewe mbona hivyoNikikutana na miss chagga sio mbaya...
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Mimi sina kiwanja hata kimoja Eli79..nlikuwa nauliza kama vinapatikana kirahisi hivo na mm nijiongeze
aiseee wewe mbona hivyo
ha ha ha ha ha ha ha uwii kani inasaidia nini hiyo kitu