Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,035
- 142,947
wanamme huwa sio wambea, labda ukutane nao🙂
Nani kasema?
Nikutajie mijanaume mimbea ya humu?
wanamme huwa sio wambea, labda ukutane nao🙂
Ni zaidi ya masogange mwnyw atakucmulia alafu mkorogo kwangu sumu
wanamme huwa sio wambea, labda ukutane nao🙂
Nkutane na Nyan Ngabu lkn hatak kukutana na m2 ila me co mzush
Bwahahaha atalainka mie mtt wa kike najiamin hatachomoa
culbby don't trust him. He is bad news.Labda nikuone mie nithibitishe nimwambie
Bwahahaha atalainka mie mtt wa kike najiamin hatachomoa
Hebu fanya unikutanishe na cathy magige cc Nyani Ngabu
akiwa na mbowe....
Hold up...wait a minute.
Mtoto wa kike unacheka kama Le Mutuz? What's up with that?
hahaha!!! ushaharibu sasa. huo muda ndo mzuri lakn maana tukitoka huko hamisi atanidrop home. teheeeeee!!!!
Hold up...wait a minute.
Mtoto wa kike unacheka kama Le Mutuz? What's up with that?
weeeeeeee!!!! tena hao ndo usiseme. wambea halafu wapiga mizinga. sijui ndo fee ya umbea.
Naona huthubutu "kuchepuka"
Sitaki kukutana na yeyote wa humu.
(Willingly) never ever again.
Hivi tu watu hawakujui lakini hawaishi kukuzushia uzushi.
Wakikutana na wewe in the flesh si ndo utakuwa umewapa fodder ya kutosha kwa uzushi wao....
So hell to the no. But y'all can meet if you want to. But for me, just ain't my thing....
Umekumbana na mengi Naona
Mbowe anahusikaje kwa cathy?
weeeeeeee!!!! tena hao ndo usiseme. wambea halafu wapiga mizinga. sijui ndo fee ya umbea.