Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,333
- 17,873
Huyo ndio mwenyewe sasa, mwenye wenzere ni risk mzeee...
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Unaogopa mno bana kama vip nunua bunduki hahaha
Huyo ndio mwenyewe sasa, mwenye wenzere ni risk mzeee...
Sent from my iPhone using JamiiForums app
panga tu mkuu..mimi tarehe 13. 6.2014 nitakuwa naupanda mlima kilimanjaro.
unga tela ntuzu.
rodneyrodninho mwangu wewe Mbrasil nini?
ndio! Halfcast wa kibrazili, kiingereza na kisukuma
Yeyote yule ambaye hana makuu
Afadhali maana nahis kibuti kingetembea leo
kukutana nako mpk makuu....???
toa mfano kdg...makuu gani mfano???
Wewe hata nikikufumania, mi ndo ntakuomba radhi kwa kosa langu la uzembe la kukufumania ili usiniache.
Utakua na ile Kamera yako ya Kipaparazi na Udaku?