Ukutanishwe na nani wa Jamiiforums?

Ukutanishwe na nani wa Jamiiforums?

Aandike yeyote to ila google ina akili itamwambia "did you mean...."😀😀😀😀


Kule kwetu kufashi ya Congo wanaita MOBIMBA Au kwa lugha ya zamani ZEGEMBE! Teh Teh Teh Teh
 
Kule kwetu kufashi ya Congo wanaita MOBIMBA Au kwa lugha ya zamani ZEGEMBE! Teh Teh Teh Teh

Hahahaa hilo neno mobimba melisikia sana kumbe wameanza masifu zamani
 
King'asti ,Tized,Karucee na dada wa crash (kasinde)
 
Cant wait meeting you guys! Its an Honor!
Mkuu yeyote Mkuu! Km hii meku Mr Rocky na ile Masai OLESAIDIMU na ile Dreva Yao Mndengereko na Yule mfanyakazi Wa kanji bai utafiti na kijana Tized na chapombe Kaizer na ile paroko Eiyer na Shemeji Mentor na #teamRafiki wote na #teamBazazi wote napenda sn kuonana nao!

Na dada zangu wote mwallu miss neddy Karucee charminglady Heaven on Earth masai dada Kaunga na wengine wooote nawapenda sn na ninapenda sn kuonana nanyi!


Na mume mwenzangu Eli79 napenda sn kuona yeye!
 
may your wishes be granted............
 
Hamtaki kuonana na Malafyale sababu ni mporipori wa Kyela?Ningekuwa naongea Swahili ya Pwani wengi wangetaka kuonana na mm!Acheni ubaguzi nyie bana!!

Mm ningependa nionane na DEMBA na amu tule angalau matoborwa pamoja
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom