Ukutanishwe na nani wa Jamiiforums?

Ukutanishwe na nani wa Jamiiforums?

hapo bold umetisha sezae.
.tupange tuje tuonane tu!
Mkuu yeyote Mkuu! Km hii meku Mr Rocky na ile Masai OLESAIDIMU na ile Dreva Yao Mndengereko na Yule mfanyakazi Wa kanji bai utafiti na kijana Tized na chapombe Kaizer na ile paroko Eiyer na Shemeji Mentor na #teamRafiki wote na #teamBazazi wote napenda sn kuonana nao!

Na dada zangu wote mwallu miss neddy Karucee charminglady Heaven on Earth masai dada Kaunga na wengine wooote nawapenda sn na ninapenda sn kuonana nanyi!

Na mume mwenzangu Eli79 napenda sn kuona yeye!
 
mmh..inatia wasiwwasi.
kwa nini usitafute chako ukamuachia kaka yangu hicho

mwenye nacho kataka wote tuwe wamiliki.. Sasa mie nifanyeje!! Au wewe una plot iko free nimuachie kile?
 
Mkuu yeyote Mkuu! Km hii meku Mr Rocky na ile Masai OLESAIDIMU na ile Dreva Yao Mndengereko na Yule mfanyakazi Wa kanji bai utafiti na kijana Tized na chapombe Kaizer na ile paroko Eiyer na Shemeji Mentor na #teamRafiki wote na #teamBazazi wote napenda sn kuonana nao!

Na dada zangu wote mwallu miss neddy Karucee charminglady Heaven on Earth masai dada Kaunga na wengine wooote nawapenda sn na ninapenda sn kuonana nanyi!

Na mume mwenzangu Eli79 napenda sn kuona yeye!

Mi nakuja na bia mkononi...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom