Ukutanishwe na nani wa Jamiiforums?

Ukutanishwe na nani wa Jamiiforums?

Miss Kim... Najua kitu cha archuga lazima kitakuwa na quality ya ukweli ...
 
humu ndani tumekuwa wengi hatufahamiani ila tumeweza kuwa karibu kupitia id zetu tu.kwa mfano kama ukipatiwa fursa ya kukutana live na mwana jf mwenzako ungependelea ukutane na nani.weka jina hapa

Humu Ndani kuna Think Tank za ukweli... I wish siku moja tukae meza moja mano O mano na Mzee Mwanakijiji, Invisible, Jackbour, Kiranga, Fundi Mchundo, Jarsonbourne, Kasheshe, Game Theory, Linyungu, JeiKei, Joka Kuu, BAK, Kakalende, Mpigakura, JJ Mnyika, Kichuguu et al... Kuna haja ya kukutana wakuu ...
 
wakuu hakuna anae tamani kuonana na mimi?



mi natamani kuonana na babu asprin

So do İ. tufanye mipango mkakati basi next weekend tukutane bar yenye vyumba vya wageni incase mmoja akizidiwa, mwenzie ampeleke akalale kwa amani.
 
So do İ. tufanye mipango mkakati basi next weekend tukutane bar yenye vyumba vya wageni incase mmoja akizidiwa, mwenzie ampeleke akalale kwa amani.

Ooh mama....
 
Back
Top Bottom